Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..
Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!
Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu
Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'
Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita
Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)
Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)
Lebanon
-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms
Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…
View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi
308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20
yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.
NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)