Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Unaweza ukaweka data hapa unazoziamini kuliko maneno matupu!!….
Nataka kukujulisha tu huyo aliyesema kashinda vita ya 2006 aliishia kufukuza makamanda wake wa juu wote ,na hii inathibitisha tu kwamba walitandikwa sema ndio aibu kwa mtu mzima una silaha kali zote na misaada kibao kutoka mataifa makubwa ila unapigwa na mgambo wa hezbollah
 
Kwa nini jumuiya ya kimataifa hawatoi kauli za kuzuia uzandiki wa Israel? Kule Ukrain UN na vibaraka wa USA walisimama kidete kupambana na Urusi.. Kwa Israel kila baada ya muda anazidi kumega eneo la Palestina na hao wanaojiita Umoja. wa mataifa hakuna kauli / hatua yoyote waliokwisha ichukua dhidi ya vitendo vya Israel..

Kuna haja gani ya kuwa na jumuiya ya kimataifa yenye matabaka na isiyo na meno ? Nani ananufaika na Taifa la Israel pale mashariki ya kati? Watawala wa kiarabu wangekuwa wamoja na kushirikiana haya yote yasingelitoke, tatizo lao ni vibaraka waliopo kwa maslahi ya mataifa ya kibeberu.

Siku Iran, Saudia na mataifa mengine ya kiislam yakiamua kushirikiana pale mashariki ya kati Israel atakuwa kwenye wakati mgumu mno.. Na hilo Marekani hataki litokee kwani litayumbisha maslahi yake anayoyavuna uarabuni...

Wee muhudumu lete ingine nikalale.
Inawezekana husomi historia,nenda kasome vita ya Israel na mataifa ya waarabu miaka 60,hao waarabu wote waliungana+na msaada wa vifaa toka kwa Mrusi, bado walichapwa hao wote...hakuna Mwarabu anayeweza mpiga Israel...kwa wale wanaosoma maandiko ya Biblia hawashangai Israel kushinda hizi vita.
 
Hakuna siku Israel itashindwa vita mpk Dunia ifikapo mwisho...hao wameandikwa kwenye Biblia na hata ukiwachukia huwezi badiri chochote..ni TAIFA TEULE,utake usitake ndio ukweli na hiyo vita haita kaa iishe mpk masihi ajapo.
 
Nataka kukujulisha tu huyo aliyesema kashinda vita ya 2006 aliishia kufukuza makamanda wake wa juu wote ,na hii inathibitisha tu kwamba walitandikwa sema ndio aibu kwa mtu mzima una silaha kali zote na misaada kibao kutoka mataifa makubwa ila unapigwa na mgambo wa hezbollah

Kwaiyo mkuu unategemea kuna siku Waarabu watashinda hii vita na kuwaondoa Wairael mashariki ya kati???
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi
I
308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.

NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Nakuunga mkono sababu ukiangalia na ukifika Israel, wakristo wanaitwa Messianic jews. Hawana hata thamani kama wayahudi wenyewe.
Lebanon wakristu waliokuwemo wengi waliondoka baada ya vita ya 2007 badala yake, waislam wamezidi kujiimarisha na wanaoana na kuzaana ingawa waislam wasomi hasa Sunni wengi wana mke mmoja na watoto hawazidi wawili.
Kuna dini za kikristo kubwa tatu Lebanon, Mennonite ambalo pamoja na Orthodox ndo dini za zamani kuliko ukatoliki.
Shida ya Lebanon ni Hezbolah ambao wanakingiwa kifua na Iran na wanapewa silaha na Iran.
Jana walishiriki katika kutuma makombola Israel hivyo kila mtu yupo standby kwa lolote litakalotokea.
Myahudi hapigi hivi hivi ana target anajua wakristu walipo, wasunni na anajua Hezbolah makao makuu ni wapi.
Tusubiri.
 
IMG_9823.jpg

Naona anajibu mapigo
 
HAMAS ni chama cha magaidi kinachotawala wapalestina upande wa Gaza.Hata wapalestina nao hawakipendi
IMG_9998.jpg

Kinatawala kimabavu! Mihura zaid ya nane hakijafanya uchaguzi kikiogopa kutolewa madarakani.

Kura za maoni zilionyesha asilimia 62% ya wapalenstina hawakitaki wanataka watawaliwe na chama cha west bank
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.

NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Ukiwa gaidi kawaida unakuwa hauna akili
 
Mm naona waarabu wana jaziba sana na ndio kinawaponza sana..
Kuna sehemu unatakiwa kutumia akiĺi zaidi kuliko hasira maana hasira hasara.

Wanachotumia ni mihemuko na hasira ndio huwa kinawa cost
 
Mpalestina anaingia vitani na Imani Moja kuwa naenda kufa.Muyahudi anajilinda ili asife ana silaha zote.Kwa hiyo huwezi kumtishia mtu ambaye kaja kufa.Huwezi kumpiga mkwara kuwa nitakuuwa wakati yeye kaja kufa.Na hii inaeithishwa vizazi na vizazi.Manake mpalestina ni Haram kufa bila waisrael japo kumi.
 
Mkuu hii umeitoa wapi?
Unaijua historia ya kanisa la Catholic na ya Orthodox?
Ninaishi huku na nimetembelea karibu sehemu zote takatifu. Ingia kwenye Google na soma wakristo wa kwanza. Jua Mennonite hata papa wanaitambua. Mt. Shabel aliwekwa utakatifu na Baba mtakatifu Paul II.
 
Mennonite ambalo pamoja na Orthodox ndo dini za zamani kuliko ukatoliki.
Nilimaanisha hiyo nukuu ya pili.
Tangu lini Mennonite Church limekuwa kanisa la zamani kuliko Catholic church?
Hilo limeanzishwa nchini Swiss mnamo January 21, 1525.
 
Nilimaanisha hiyo nukuu ya pili.
Tangu lini Mennonite Church limekuwa kanisa la zamani kuliko Catholic church?
Hilo limeanzishwa nchini Swiss mnamo January 21, 1525.
Samahani nilimaanisha Maronnite nadhani kichwani nilikuwa nawaza vinginee. Maronnite na Orthodox ni makanisa ya zamani pamoja na catholic church. Kimbuka mwanzo kulikuwa na ukristu na wakati wakristu wanateswa walikuwa hawajatengana mpaka mwaka wa 3 and thomething wakahitaji kuwa na papa mmoja. Orthodox ilikataa maana wakati huo kutembea kutoka Syria kwenda Palestina ilichukua mwendo mrefu. Wale wa magharibi wakaona wawe na papa mmoja na wale wa mashariki wakaona kila diocese iwe napapawake maana wale wa Syria, Armenia, Russia na Palestina wakataka wawe na papa wao.
Unapofika Jerusalem, maeneo yote matakatifu yapo chini ya Orthodox.
Ukija Lebanon, Kanisa lililopo mahali Musa alipoonyeshwa na Mungu uwanda wa chini wa Kannan mlima wa Nebo, ingawa hakufika, lile kanisa linaendeshwa na makapchini wa mt. Fancis wa Assis.
 
Hata mm naona hivyo, hata hao watu 200 waliokufa, watalipiwa na watu elfu kadhaa toka palestina, kikubwa Palestine wakae na Israel waisort hii issue kimpango mzuri
Mfano unashba lako ekali 5 kila mwaka jirani yako anamega hatua kadhaa kutamaki umebakiza ekali 1 kila mwaka unalalamika mkisurihishwa anahadi kukuludishia lakini mkirundi nyumbani anabega tena kwa ubabe ukimwambia anakupiga na kua watoto wako je utafanyaje?
 
Siwezi kufa nikiwa nimepiga magoti au nimechuchumaa, nitakufa nikiwa nimeshika bunduki na ikidondoka atachukua mwingine na kuendeleza mapambano.

Free Palestine [emoji1193]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Back
Top Bottom