Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Siwezi kufa nikiwa nimepiga magoti au nimechuchumaa, nitakufa nikiwa nimeshika bunduki na ikidondoka atachukua mwingine na kuendeleza mapambano.

Free Palestine [emoji1193]

Hiyo bunduki ndio smarphone


Una ota ww
 
Wazee wangu walifia Afrika Kusini, Msumbiji, Angola na Zimbabwe baada ya nchi hizo kukaliwa kimabavu na Wazungu waliokuwa wakiungwa mkono na Israel

Lakini wakashindwa kuwatoa waarabu waliokua zanzibar hadi John okello kutoka uganda
 
Yaani uvamiwe nyumbani kwako halafu uendelee kumbembeleza mvamizi sijui uyatatue?

Huu uoga wako ndiyo maana ni masikini hadi leo licha ya ufisadi na wizi unaofanywa na wachache kwasababu wamegundua watu waoga kama wewe ndiyo wengi.

Wale ni Waarabu hawamuogopi yeyote licha ya Israel kupata kila aina ya support kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya lakini Wapalestina wapo imara miaka yote.

Si kweli hamna cha uimara wangekua imara wangekua wana influence duniani kote

Hamna taifa la kiarabu linalojitoa kindaki ndaki kisa wapalestina

Jordan walishawakataa na kuwaondoa kuua wapalestina 250k kipind kabla Gaza haijakaliwa na hamas
 
Milioni 9 wachache sana kuwamaliza. Adolph Hitler pekee aliwauwa hao Wayahudi milioni 6 ndani ya muda mfupi.

Hitler aliwahi kusema " Ningewauwa Wayahudi wote ila niliwaacha baadhi yao ili dunia ije ijue kwanini niliamua kuwaua"

Na kweli leo dunia inashuhudia usumbufu na vurugu zinazosababishwa na Wayahudi na kusababisha eneo zima la mashariki ya kati kukosa amani na utulivu.

Vurugu gani ?? kwaiyo kwa akili yako Hitler angeweza kuwamaliza waisrael??

Kwan waisrael wote waliishii German??
Mkuu akili za kuambiwa changanya na zako
 
Mkuu hao watu waliwahi kuishi wote hapo kwa amani tu sema kuna kipindi waisrael walipakimbia wakatawanyika duniani huko.
Then baadaye wakarudi. Yani ni sawa na wangoni leo warudi south africa kudai ardhi wawatoe waliowakuta unadhani nini kitatokea?

Ukweli utabadilika kua pale si kwako??

Wangoni wakirudi south watakua wamekosea

kwanza kujiita wangoni ni kujitofautisha na wazuru na kukata mizizi na uhusiano na wasouth.

Pili wangoni walioana na makabila mengine kwaiyo hawana usouth unaousemea sema baadhi wana chembe chembe za huko


Ila waisrael kila wanaooenda hujitenga na kudumisha purity yao!!
 
Yaani uvamiwe nyumbani kwako halafu uendelee kumbembeleza mvamizi sijui uyatatue?

Huu uoga wako ndiyo maana ni masikini hadi leo licha ya ufisadi na wizi unaofanywa na wachache kwasababu wamegundua watu waoga kama wewe ndiyo wengi.

Wale ni Waarabu hawamuogopi yeyote licha ya Israel kupata kila aina ya support kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya lakini Wapalestina wapo imara miaka yote.
Lakin Mkuu,

What if huna ubavu wa kumchapa mvamizi wako au kumtoa hapo alipokuvamia na hata majirani zako wote wanamuogopa? Utaendelea kupigana nae uendelee kuumia wewe au?
 
Back
Top Bottom