Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Planet Data bundles

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,403
Reaction score
4,362
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…
IMG_9805.jpg

Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.


NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!!…

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao”…..

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwako zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.


NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
Israel anaikandamiza palestina, hata ukiangalia ramani ya UN iliyogawa maeneo, hayo maeneo kayachukua pia.
Mimi naona wapalestina wanapigana vita ya kutetea makazi na uwepo wao japo wakifanya hivyo wanaitwa magaidi.
Hata paka ukimfungia ndani ukamchapa akakosa pa kutokea atakulalua tu.
Hapa chini ni ramani jinsi wanavyozidi kuporwa maeneo na dunia imefumba macho.
55aefa02-f7bd-4e57-96e4-cc21aac68b90.jpg
 
Sasa kama kila wakipigana unashindwa watu wanauliwa na ardhi yako inamegwa unadhan kuna siku kutakua kuna nchi inaitwa palestina??

Na ikumbukwe kua wanaofadhili hizo siraha na hayo mashambulizi wao hawadhuriki !!

76% ya wapalestina wa gaza hawaitaki HAMAS
Umedanganywa inayochukiwa na wapalestina ni serikali ya PA inayoongozwa na Abbas. Wapeni uhuru wao acheni uonevu
 
Hapa chini ni ramani jinsi wanavyozidi kuporwa maeneo na dunia imefumba macho.View attachment 2775276

Kwa trend jinsi ilivyo, pengine miaka 100 ijayo hakutakuwa na eneo linaloitwa Palestina...

Nina swali moja hapo, je kama Israel yote ya sasa ilikuwa ni Palestina, je Wazayuni wao eneo lao la asili ni lipi?
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!!…

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao”…..

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.


NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Uungane na wavamizi wasio na ardhi yao? Hao Waisraeli walishalaaniwa ndiyo maana wanatangatanga hovyo na kuvamia tu maeneo ya watu.

Uoga wako wa kijinga unaokuletea umasikini wenzako waarabu walishatoka huko hawana uoga wa kijinga kwenye masuala ya haki zao.
 
Hata mm naona hivyo, hata hao watu 200 waliokufa, watalipiwa na watu elfu kadhaa toka palestina, kikubwa Palestine wakae na Israel waisort hii issue kimpango mzuri
Yaani uvamiwe nyumbani kwako halafu uendelee kumbembeleza mvamizi sijui uyatatue?

Huu uoga wako ndiyo maana ni masikini hadi leo licha ya ufisadi na wizi unaofanywa na wachache kwasababu wamegundua watu waoga kama wewe ndiyo wengi.

Wale ni Waarabu hawamuogopi yeyote licha ya Israel kupata kila aina ya support kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya lakini Wapalestina wapo imara miaka yote.
 
Sasa kama kila wakipigana unashindwa watu wanauliwa na ardhi yako inamegwa unadhan kuna siku kutakua kuna nchi inaitwa palestina??

Na ikumbukwe kua wanaofadhili hizo siraha na hayo mashambulizi wao hawadhuriki !!

76% ya wapalestina wa gaza hawaitaki HAMAS
Hizo data za mabwana zake Israel ndo zinataka kuwaaminisha watu kwamba HAMAS ni magaidi kumbe ni watu wanaotafuta haki.
 
Israel anaikandamiza palestina, hata ukiangalia ramani ya UN iliyogawa maeneo, hayo maeneo kayachukua pia.
Mimi naona wapalestina wanapigana vita ya kutetea makazi na uwepo wao japo wakifanya hivyo wanaitwa magaidi.
Hata paka ukimfungia ndani ukamchapa akakosa pa kutokea atakulalua tu.
Hapa chini ni ramani jinsi wanavyozidi kuporwa maeneo na dunia imefumba macho.View attachment 2775276
Mwenye nguvu mpishe
 
Israel hajawahi kumuweza Hezbollah na hatarajii kumuweza maana hao ni level nyingine moto wao Israel hauwezi.

Hao wanafadhiliwa wazi wazi na Iran na hakuna mtu ataifanya chochote Iran.

Hao wana silaha nzito kuliko unavyodhani.

Kwa chuki Iran iliyo nayo juu ya Israel ingekua na huo uwezo wa kuipiga israel ingekua ishafanya!!.. Nadhani uwezo huo hawana kabisa ndyo maana wana pigana prox war…. Hata tu kupeleka jeshi lake lebanoni livamie hawawezi ila wanaweza kutuma pesa na siraha…..

Kama mossad wameweza kuingia iran na kuua wanascience wa iran hiyo ilikua sababu tosha ya kuivamia israel ila hawakufanya hivo
 
Point yako ni. nini mkuu,,,,
Taliban na mgogoro wa hamasi ni tofauti

Afghastan ilikua n military occupation na haikua n milele ilikua ni kuijengea uwezo serikali ya democrasia kisha kurudi kwako

wakati ishu ya palestina na israel hamna serikali ya nje wala hamna jeshi litakalo rudi kwako hapo ni mawili tu hapo

Au wapalestina wakubali kuishi side by side.

Au Waisrael wafe wakipigana maana hawana kwa kwenda….
Kwaiyo mkuu hapo usije dhan kuna siku Hamas itashinda!! ili ishinde inabidi iue waisrael wote milion 9
Milioni 9 wachache sana kuwamaliza. Adolph Hitler pekee aliwauwa hao Wayahudi milioni 6 ndani ya muda mfupi.

Hitler aliwahi kusema " Ningewauwa Wayahudi wote ila niliwaacha baadhi yao ili dunia ije ijue kwanini niliamua kuwaua"

Na kweli leo dunia inashuhudia usumbufu na vurugu zinazosababishwa na Wayahudi na kusababisha eneo zima la mashariki ya kati kukosa amani na utulivu.
 
Kwa trend jinsi ilivyo, pengine miaka 100 ijayo hakutakuwa na eneo linaloitwa Palestina...

Nina swali moja hapo, je kama Israel yote ya sasa ilikuwa ni Palestina, je Wazayuni wao eneo lao la asili ni lipi?
Mkuu hao watu waliwahi kuishi wote hapo kwa amani tu sema kuna kipindi waisrael walipakimbia wakatawanyika duniani huko.
Then baadaye wakarudi. Yani ni sawa na wangoni leo warudi south africa kudai ardhi wawatoe waliowakuta unadhani nini kitatokea?
 
Back
Top Bottom