Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Kwanini Waarabu ni wagumu kujifunza?

Kwa chuki Iran iliyo nayo juu ya Israel ingekua na huo uwezo wa kuipiga israel ingekua ishafanya!!.. Nadhani uwezo huo hawana kabisa ndyo maana wana pigana prox war…. Hata tu kupeleka jeshi lake lebanoni livamie hawawezi ila wanaweza kutuma pesa na siraha…..

Kama mossad wameweza kuingia iran na kuua wanascience wa iran hiyo ilikua sababu tosha ya kuivamia israel ila hawakufanya hivo
Je, Israel anayo nguvu ya kuivamia Iran?

Mbona Iran alilipiza kisasi kwa kushambulia maeneo yanayokaliwa na Wayahudi na hakuna vita iliyotokea walikaa kimya.

Iran anasimama peke yake anajiamini ila Israel bila mabwana zake sio chochote kwenye ulimwengu huu.

Sio Israel wala mabwana zake anayeweza hata kurusha jiwe pale Iran wazi wazi anajua kitakachotokea ni zahma kwao.

Israel hakukiri wazi wazi kwamba ni yeye ndiye aliyewaua wanasanyansi wa Iran bali ni madai ya Iran na hata hivyo Israel alikanusha.
 
ILIKUWA HIVYO KWA WAYAHUDI DHIDI YA ROMAN EMPIRE.
Zaidi ya miaka 2000 wanataliwa na hawakuwahi kupoteza tumaini la kuwa na nchi yao, hii miaka 50 ya Palestine isikutishe.

Hakuna dhulma inayosimama milele. ..
 
Sasa kama umeamini kua miaka zaidi ya elf 2 waisrael hawakukubali kupoteza nchi yao bado unaamini kuna siku watawaachia wapalestina nchi ambayo wapo kabla hata ya Yesu!!”” Hii watasagana hadi nchi moja wapo ife completely
 
Je, Israel anayo nguvu ya kuivamia Iran?

Mbona Iran alilipiza kisasi kwa kushambulia maeneo yanayokaliwa na Wayahudi na hakuna vita iliyotokea walikaa kimya.

Iran anasimama peke yake anajiamini ila Israel bila mabwana zake sio chochote kwenye ulimwengu huu.

Sio Israel wala mabwana zake anayeweza hata kurusha jiwe pale Iran wazi wazi anajua kitakachotokea ni zahma kwao.

Israel hakukiri wazi wazi kwamba ni yeye ndiye aliyewaua wanasanyansi wa Iran bali ni madai ya Iran na hata hivyo Israel alikanusha.
Jamaa muongo sana aisee [emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mashudu yasiyo na Afya hata kidogo

Mkuu ebu tusiongee kiushabiki

Orodhesha hapa siraha zilizotengenezwa na iran na zilizotengenezwa na Israel (syo US)

Plus si kweli kua iran iko pekee yake ipo na washirika wanaoendelea kuipa support ya biashara,kuiba intellegence ya kuteneza silaha
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.

NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Wauane mpaka waishe wote
 
Free
Siwezi kufa nikiwa nimepiga magoti au nimechuchumaa, nitakufa nikiwa nimeshika bunduki na ikidondoka atachukua mwingine na kuendeleza mapambano.

Free Palestine [emoji1193]
Palestina huku umeshakula Ubwabwa wako ,umrvimbiwa ...unazungumzia bunduki! ?
 
Israel anaikandamiza palestina, hata ukiangalia ramani ya UN iliyogawa maeneo, hayo maeneo kayachukua pia.
Mimi naona wapalestina wanapigana vita ya kutetea makazi na uwepo wao japo wakifanya hivyo wanaitwa magaidi.
Hata paka ukimfungia ndani ukamchapa akakosa pa kutokea atakulalua tu.
Hapa chini ni ramani jinsi wanavyozidi kuporwa maeneo na dunia imefumba macho.View attachment 2775276

Mwenye nguvu mpishe. Wayahudi wamedhamilia kabisa kuchukua maeneo yote na uwezo na nguvu wanayo mpalestina akubali kupoteza vinginevyo kila siku watakua wanakuja na hashtag tu.
 
Hata mm naona hivyo, hata hao watu 200 waliokufa, watalipiwa na watu elfu kadhaa toka palestina, kikubwa Palestine wakae na Israel waisort hii issue kimpango mzuri

Walipewa option wagawanywe kila mtu awe na nchi yake waarabu wa kagoma wao hawataki wayahudi wa wepo hapo middle east,utaona hivi vijamaa ni vibaguzi kiasi gani,sasahivi acha walielie na kuendelea kuporwa hata maeneo waliyokua nayo.
 
Kwa nini jumuiya ya kimataifa hawatoi kauli za kuzuia uzandiki wa Israel? Kule Ukrain UN na vibaraka wa USA walisimama kidete kupambana na Urusi.. Kwa Israel kila baada ya muda anazidi kumega eneo la Palestina na hao wanaojiita Umoja. wa mataifa hakuna kauli / hatua yoyote waliokwisha ichukua dhidi ya vitendo vya Israel..

Kuna haja gani ya kuwa na jumuiya ya kimataifa yenye matabaka na isiyo na meno ? Nani ananufaika na Taifa la Israel pale mashariki ya kati? Watawala wa kiarabu wangekuwa wamoja na kushirikiana haya yote yasingelitoke, tatizo lao ni vibaraka waliopo kwa maslahi ya mataifa ya kibeberu.

Siku Iran, Saudia na mataifa mengine ya kiislam yakiamua kushirikiana pale mashariki ya kati Israel atakuwa kwenye wakati mgumu mno.. Na hilo Marekani hataki litokee kwani litayumbisha maslahi yake anayoyavuna uarabuni...

Wee muhudumu lete ingine nikalale.
 
Point yako ni. nini mkuu,,,,
Taliban na mgogoro wa hamasi ni tofauti

Afghastan ilikua n military occupation na haikua n milele ilikua ni kuijengea uwezo serikali ya democrasia kisha kurudi kwako

wakati ishu ya palestina na israel hamna serikali ya nje wala hamna jeshi litakalo rudi kwako hapo ni mawili tu hapo

Au wapalestina wakubali kuishi side by side.

Au Waisrael wafe wakipigana maana hawana kwa kwenda….
Kwaiyo mkuu hapo usije dhan kuna siku Hamas itashinda!! ili ishinde inabidi iue waisrael wote milion 9

Ndio option iliyobaki wapalestina wauwe wayahudi wote au wakubali kuishi nao kwa pamoja na umoja na maisha yaendelee optiona namba 1&2 ni kitu ambacho wawezi hivyo wapishe tu hilo eneo mana hata hivyo wamebaki wachache sana.
 
Mwenye nguvu mpishe. Wayahudi wamedhamilia kabisa kuchukua maeneo yote na uwezo na nguvu wanayo mpalestina akubali kupoteza vinginevyo kila siku watakua wanakuja na hashtag tu.
Kwa hiyo wakakae wapi?
Ndio wana nguvu na wapalestina ndio maana wanapigana wafe standing maana dunia mmebaki kuwaita magaida wakipigania uwepo wao.
King wa Spartan alisema a few men stood against many, and before the war is over people will know even the God King can bleed.
Hiki walichoafanya hamas jana mpaka bbc inawahoji viongozi wa Israel hawaelewi kwanini hawakuwa na taarifa kuwa yatatokea mashambulizi wakati wao wanaamini wana mapandikizi kila sehemu.
Hawakuwa hata na dalili ya hili.
Hii ni tafsiri mpya kuwa the underdog now ameadvance.
 
Kwa trend jinsi ilivyo, pengine miaka 100 ijayo hakutakuwa na eneo linaloitwa Palestina...

Nina swali moja hapo, je kama Israel yote ya sasa ilikuwa ni Palestina, je Wazayuni wao eneo lao la asili ni lipi?

Hawana eneo zaidi ya hilo,hapo ndio kwao walitawanyika baada ya kutekwa na kuuawa na wengine kukimbia,walijioganaizi wakarudi.
 
Uungane na wavamizi wasio na ardhi yao? Hao Waisraeli walishalaaniwa ndiyo maana wanatangatanga hovyo na kuvamia tu maeneo ya watu.

Uoga wako wa kijinga unaokuletea umasikini wenzako waarabu walishatoka huko hawana uoga wa kijinga kwenye masuala ya haki zao.

Endeleeni kuwatengenezea hastags
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.

NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Unapotoa data zako kumbuka anayetoa data ndio mpikaji mzuri wa data na ni mtu mwenye vyombo vingi vya habari , ila pamoja na yote vita ya 2006 dhidi ya hezbollah israel alitandikwa na kupelekea wakuu wake wa jeshi na vyombo vya usalama kujiuzulu wote kwa aibu waliyoipata kupgwa na mgambo
 
Milioni 9 wachache sana kuwamaliza. Adolph Hitler pekee aliwauwa hao Wayahudi milioni 6 ndani ya muda mfupi.

Hitler aliwahi kusema " Ningewauwa Wayahudi wote ila niliwaacha baadhi yao ili dunia ije ijue kwanini niliamua kuwaua"

Na kweli leo dunia inashuhudia usumbufu na vurugu zinazosababishwa na Wayahudi na kusababisha eneo zima la mashariki ya kati kukosa amani na utulivu.

Nadhani Aldof hitra alikosea sana,dunia sasahivi inateseka na magaidi ya kiisalmu yaliyotapakaa duniani ya kiua na kuumiza watu duniani,ilipwasawa wauwae wote hawa magaidi
 
Hapa siongelei ushabiki ,wala udini wala si sehemu ya kuleta chuki!!..

Mgogoro wa Israel na Palestina umeanza miaka mingi tangu kuanzishwa kwa Israel ya sasa!

Kifupi hapa si mahala pa kujadili yupi yupo sahihi yupi hayupo sahii kwasababu ni kitendawili kisicho na jibu” hata kama lipo basi hamna anaekubali jibu

Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa “Ukishindwa ungana nao'

Vita ya siku sita ndio ilikua vita kubwa zaidi kupata kutokea katika mgogoro huu!
Matokeo ya vita

Misri
-Ilinyang’anywa Eneo la sinai ( baadae ilirudishiwa)

Syria
-Ilinyang’anywa eneo linaitwa Golan height (sasa ivi n eneo la Israel)

Lebanon

-ilinyang’anywa eneo la Chebaa Farms

Kifupi kila vita inayopiganwa madhara ni mara kumi kwa palestina zaidi ya Israel lakin hamna anaejari watarudia tena na tena…View attachment 2775271
Hapo unaweza ona human cost ya hizi vita au mashambulizi

308:6407 hapa n sawa na ratio ya 1:20

yaan katika kifo cha muisrael mmoja watu ishirini wa wapalestina.

NB: Siyo uzi wa kidini , waisrael ni wayahudi na wapalestina n wakristo na waislam
(TAFADHARI USIWEKE LINK kwene hii post)
Wayamalize waache kuuana. Wakae wamalize tofauti zao
 
Unapotoa data zako kumbuka anayetoa data ndio mpikaji mzuri wa data na ni mtu mwenye vyombo vingi vya habari , ila pamoja na yote vita ya 2006 dhidi ya hezbollah israel alitandikwa na kupelekea wakuu wake wa jeshi na vyombo vya usalama kujiuzulu wote kwa aibu waliyoipata kupgwa na mgambo

Unaweza ukaweka data hapa unazoziamini kuliko maneno matupu!!….
 
Back
Top Bottom