Tabora ipo Mombasa au Tanga au Zanzibar ?TABORA
Umejuaje haya yote mambo ya chumbani? sisi tumeona kina amber ruty lifeUKO SAHIHI KABISA
Njoo huku maganzo mabinti wa kiarabu wa kumwagaHabari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani
mmmh! bado usawa haujakaa sawaa marriage between a Jew and a non-Jew is both prohibited and also does not constitute a marriage under Jewish law.
Njoo huku maganzo mabinti wa kiarabu wa kumwaga
Sol de Mayo na Dalmine watu wangu wa nguvu muko wapi?
Haya wavaa kobaz njooni muwatetee mabwana zenu Sol de Mayo
Mkuu hili suala ni rahisi sana kulielewaHabari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani
Mwarabu huwa hamtambui mwafrika kuwa ni muislamu 100%. Anamchukulia km mtu aliyesilimu akaingia kwenye hiyo dini.Kwan dini ya kiislam inasema nn kuhsu usawa?
Kwahio mungu wenu huyo alibagua watu aliowaumba mwenyewe? Anhaa sawa..huna maadili mazuri huwezi kuoa mwarabu , ukibanwa mkojo unakojolea kwenye chupa unatupa barabarani, ukipata pesa unataka utambe dunia yote ikutambue uvae macheni hereni tatoo. ukiwa na gari muziki upige barabara yote wakusikie , ukifingua biashara unaweka spika nje inaongea kuita wateja asubuhi mpaka jioni uliona mtu mweupe kwenye biashara zake kafanya upuuzi huo, miudo mbinu mnavunja , maisha ndani ya nyumba dhki hata kama unapesa maadili tofauti, wewe ungeuliza kwanini mungu hakuchagua nabii hata mmoja mwafrica wote ngozi nyeupe?
Sio kweli mkuuHabari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani
Akili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tuAkili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tu. Mtu umepauka lakini unataka eti kuoa mtoto wa mtu ambaye hata shida hazijui kisa dini? Mwanamke kwa mujibu wa dini ya Kiislam anahitaji kupewa ulinzi, makazi, chakula na mavazi, Sasa ndugu zetu nyinyi hamtaki kutafuta hela ila mnalazimisha kuoa kwa waarabu eti kisingizio ni dini. Wapo watu wameoa waarabu tena bila shida.
Ukitaka waarabu tu nenda hata Palestine, Syria wapo, ila kama unataka Bakhersa na wa aina yake wakuozeshe wewe kapuku unakosea, Hata kina Kikwete, Kimei, Mwinyi, Makame, Mengi hawawezi kukupa watoto wao kama wewe ni hohehahe
Wabaguzi nambari 1 dunia waarabu halafu wanafuatia wahindi.. hutaki kula nyembe ila mie ndio ninavyoona na uhenga wanga .Habari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani
Siongei sana Dubai baada ya mafuriko waendelee kuwatetea baada ya hii 👇 👇 👇 👇 👇 👇Waarabu ni wabaguzi wakubwa sana. Mbaya zaidi wameteka akili za baadhi yetu kwa kuwapa tende, halua na futari wakati wa mfungo badala ya kuwapa elimu
Asia yote jawataki.Habari za majukumu wakuuu,