Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
you can never win that battle, Ukristo haujawahi kuhalalisha huo uchafu, never has the Bible done that. hata ukiona watu wanafanya jua ni akili za wazungu tu ila sio Bible. pili, ukweli moyoni mwako unaujua aina ya maisha watu wa Malindi, Mombasa, Tanga na Zanzibar. ukiwa mkweli wa nafsi yako hautabishana na hili. weka dini pembeni, jadili uhalisia. and mind you, pwani hawapo waislam peke yake. don't run from the truth.
Ulisoma biblia ya Queen James ? Mbona hayo ni matendo matakatifu kwenye hiyo biblia?