Nina njaaa kwelikweli uko wapi alafu weweeeWaafrika Sasa hivi kuna baadhi ya nchi watu wanaliwa kama nyama tatizo ni nini
Mfano Zanzibar yakitokea machafuko kama mwaka 2001 tutawalaumu wazungu?
Kwa sababu ni shithole countries.Kwanini waafrika tunauwana wenyewe Kwa wenyewe?
Je,sababu ni wazungu au ni sisi wenyewe?
umesahau Tanzania inaanza kasi zaidi baada ya 2015Kongo Burundi Zanzibar Susan kusini,sudani kaskazini,somalia,elitria ethepian na kwadhalika kote huko waafrika wanauwana wenyewe Kwa wenyewe tatizo ni nini?wazungu?