Kwanini waafrika tuuwana wenyewe Kwa wenyewe?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Kwanini waafrika tunauwana wenyewe Kwa wenyewe?
Je,sababu ni wazungu au ni sisi wenyewe?
 
Waafrika Sasa hivi kuna baadhi ya nchi watu wanaliwa kama nyama tatizo ni nini
Mfano Zanzibar yakitokea machafuko kama mwaka 2001 tutawalaumu wazungu?
 
Waafrika Sasa hivi kuna baadhi ya nchi watu wanaliwa kama nyama tatizo ni nini
Mfano Zanzibar yakitokea machafuko kama mwaka 2001 tutawalaumu wazungu?
Nina njaaa kwelikweli uko wapi alafu weweee
 
UJINGA NI MOJA YA VITU AMBAVO MUNGU ALIHAKIKISHA HATUNYIMI HATA KIDGO.
 
Kongo Burundi Zanzibar Susan kusini,sudani kaskazini,somalia,elitria ethepian na kwadhalika kote huko waafrika wanauwana wenyewe Kwa wenyewe tatizo ni nini?wazungu?
 
Kongo Burundi Zanzibar Susan kusini,sudani kaskazini,somalia,elitria ethepian na kwadhalika kote huko waafrika wanauwana wenyewe Kwa wenyewe tatizo ni nini?wazungu?
umesahau Tanzania inaanza kasi zaidi baada ya 2015
 
Baadae vurugu zikija kutokea watakuja kuwalamu wazungu wakati ni waafrika wenyewe wanaanzisha chokochoko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom