Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Kuna vitu so unique ndani ya CHADEMA ambavyo kwingine havipo
 
Nimekuambia una muda mwingi wa kuandika upumbavu, Mbowe si hao walioiba serikalin ambao mkiwabana kidogo wananyoosha mikono juu

Mtaua, mtateka, mtatesa lakin mbowe hamtamweza, mtafilis biashara zake halal ili awe maskin kama ninyi lakin kamwe hamtoweza,

Labda mumuue tu, jimbo la hai kwa kutumia polisi na neccm na hao wakurugenz mtalichukua lakin si kupitia kura, kama mnaamin mna nguvu leten tume huru ya uchaguzi
 

Kwa sababu siasa kwa watu wasio na maadili ni project kama project binafsi...
 
Mtu akitoa maoni yake unapandwa na Jazba halafu unataka Demokrasia ya kutoa maoni huru.
Mbowe akipata madaraka au chama Chake kikishinda uchaguza ataua watanzania kama mbu. Kumbuka Mbowe hana Dola lakini anawashughulikia wapinzani wake kweli kweli ndani ya Chama. Hataki kuulizwa ,hataki kukosolewa na leo hana Dola ; Kesho itakuwaje akipata dola.

Mtu huyo na chama chake hatumtaki kamwe ,ni mbaya kuliko mwanasiasa yeyote Afrika. Hatuhitaji tume huru kama ni ili Chadema ya Mtu ninafsi iingie madarakani tu bila kuwa na misingi ya kidemokrasia ya kweli.

Bora tutawaliwe na Chama cha Kijamaa ambacho hakina mmiliki zaidi ya waanzania wote wenye nia njema na nchi hii.

Mkiendelea na kumpamba Mbowe mtapoteza muda wenu bure na hakuna siku Tume huru itapatikana na hakuna siku Chadema itaingia Madarakani ikiongozwa na Bepari,mwizi,mkwepa kodi ,muuza unga na tapeli wa kisiasaawe ,Mbowe.

Onyesheni Demokrasia kwa Vitendo sio kuongeaongea tu majukwaani ili hali mioyoni mmeficha mapanga na udikteta mbaya kuliko ule wa Firauni.

Hata tume huru Chadema peke yake haiwezi kuishinda CCM tuwe wa kweli. Bado Chadema haojaonyesha ukomavu wa kidemokrasia. Kila mtu amekua mwoga wa kuhamia Chadema ya Mbowe.

Kila mtu anamuogopa muuaji dikteta ,mkabila na msanii Mbowe. Mfano tu, Mdude Chadema yupo gerezani lakini kuna siku mwenye chama atamfukuza kama mbwa na kuitwa msaliti.
 




Mbowe anatumia chama kufidia uovu wake.
Chama kinapata hasara kubwa sana kwa sababu ya mbinu finyu za Uongozi wa Mbowe. Chama chenye mashabiki na wanachama zaidi ya mil 5 hakiwezi kudumaa kama kilivyo sasa. Uongozi wa Mbowe umeishiwa pumzi na mikakati ya kisayansi baada ya kuwatimua wote wenye maarifa na busara kubwa.
Octoba itakua ndio mwisho wa Jeuri na matusi ya Wapiga zumari wa Mbowe.

Siasa za nchi maskini zinahitaji mikakati inayoendana na jamii husika. Mnaleta mikakati ya Marekani Tanzania kweli!!

Tukubali kuwa kwa ukubwa ,ukongwe na ilipokua imefikia CCM na Chadema hakuna mtu angeiweza nchi hii zaidi ya Magufuli. Upinzani lilikua ni genge linalotumiwa na makundi ndani ya CCM.
CCM ilikua ni genge la wapiga dili. Leo hii CCM imenyooka . Chadema nayo hakuna wa kuinyoosha zaidi ya Mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi hawezi kuangalia fedha za walipa kodi zinatumiwa kuimarisha ubeberu na mabeberu kupitia siasa. Tutamuunga mkono Rais kwenye mapambano dhidi ya vyama vya kitapeli na ufisa.
Mbowe sio tishio na hakuna mtu anayemwogopa Mbowe. Mbowe ni mwepesi sana.
 

Ukiona chama pinzani kinatamani mpinzani mwenzake afe, basi yakupasa ujue hicho chama si pinzani bali ni pandikizi la ccm
 
Nani akuletee tume Huru Mezani. Shindaneni kwa hoja sio kupinga pinga tu na kukejeli kila kitu bila kusoma hisia za wananchi.

Wananchi wengi wanamkubali sana Magufuli lakini hawaipendi CCM. Na wananchi wengi wanaipenda Chadema lakini wamemchoka Mbowe na udikteta wake wa kung'ang'ania Uenyekiti bila ukomo.

Na Mbowe hataka kuonekana kuwa amechokwa na haungwi mkono matokeo yake anatumia muda mwingi kumshambulia Rais jambo linaloifanya CCM kupumua na Chadema kufa kwa sababu watanzania wengi wanaonyesha kukerwa na kejeli ya Mbowe na wapambe wake dhidi ya Rais.

Kama Mbowe atapita kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema ndio nitajua kweli kuwa Mbowe anakubalika ndani ya Chadema na hata nje ya Chadema.

Na nitamuunga mkono kwa asilimia mia moja.
 
Chama cha mapinduzi ni kama Mwanaume tajiri, huwa na wanawake wengi. Wanawake wanaogombea mume huwa hawapendani, wanaombeana kifo ili warithi mali.
 
POLE,
Ungeenda kupata ushauri kwa Mzee Wassira kwanza usingepoteza muda na ngonjera hizi.
Hata hivyo hujachelewa sana enenda, ili uweze kutunza nguvu zako.
 
Hoja mvurugiko. Kapumzike na unywe maji ya kutosha, akili ipate kutulia.
 
Unaakili ndogo Kama ncha ya chuchu
 
Kwa nini mnapenda kudanganya na kujidanganya ati []CHADEMA ipo mioyoni mwa watu[], wa nani? Chama chochote ni wanachana ambao ni watu wenye mitazamo, mahitaji na nia tofauti...
Mliyowanunua ni mamluki na porojo zao ambazo nazo pamoja na juhudi za Jiwe na Ndugai, zimeshindwa kuwasaidia.
 
Ha haaa kweli kabisa.
 
Anybody home? Knock, knock, knock,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…