Hatuwezi kutumia uovu wa MTU mwingine yeyote kujenga mfumo mwingine mbaya zaidi. Najua mnanielewa sana Ila mnatetea shetani wenu kama wale wanaomtetea yesu wao.
Chadema chini ya Mbowe nawahakikishia kitafutiliwa mbali na watanzania wataendelea na maisha yao na maendeleo makubwa yataonekana...
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Mtu akitoa maoni yake unapandwa na Jazba halafu unataka Demokrasia ya kutoa maoni huru.Nimekuambia una muda mwingi wa kuandika upumbavu, Mbowe si hao walioiba serikalin ambao mkiwabana kidogo wananyoosha mikono juu
Mtaua, mtateka, mtatesa lakin mbowe hamtamweza, mtafilis biashara zake halal ili awe maskin kama ninyi lakin kamwe hamtoweza,
Labda mumuue tu, jimbo la hai kwa kutumia polisi na neccm na hao wakurugenz mtalichukua lakin si kupitia kura, kama mnaamin mna nguvu leten tume huru ya uchaguzi
Nimekuambia una muda mwingi wa kuandika upumbavu, Mbowe si hao walioiba serikalin ambao mkiwabana kidogo wananyoosha mikono juu
Mtaua, mtateka, mtatesa lakin mbowe hamtamweza, mtafilis biashara zake halal ili awe maskin kama ninyi lakin kamwe hamtoweza,
Labda mumuue tu, jimbo la hai kwa kutumia polisi na neccm na hao wakurugenz mtalichukua lakin si kupitia kura, kama mnaamin mna nguvu leten tume huru ya uchaguzi
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Nani akuletee tume Huru Mezani. Shindaneni kwa hoja sio kupinga pinga tu na kukejeli kila kitu bila kusoma hisia za wananchi.Nimekuambia una muda mwingi wa kuandika upumbavu, Mbowe si hao walioiba serikalin ambao mkiwabana kidogo wananyoosha mikono juu
Mtaua, mtateka, mtatesa lakin mbowe hamtamweza, mtafilis biashara zake halal ili awe maskin kama ninyi lakin kamwe hamtoweza,
Labda mumuue tu, jimbo la hai kwa kutumia polisi na neccm na hao wakurugenz mtalichukua lakin si kupitia kura, kama mnaamin mna nguvu leten tume huru ya uchaguzi
POLE,Anayeiua Chadema ni Mbowe. Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.
Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.
Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake.
Serikali nzima ya Awamu ya Tano iliingia ikiwa na imani ya kupata sapoti kubwa kutoka Chadema kuliko kutoka CCM kwani wengi walikua ni wale walikua wanachukizwa na ufisadi,uzembe, ubabaishaji,wizi,rushwa umangi meza na kila aina ya uhalifu uliokuwa unafanywa na watawala.
Cha ajabu Mbowe alibadili gia angani na kupinga kila kitu mpaka ushauri mzuri wa kujenga makao makuu ya Chadema Dodoma aliokuwa amepewa na Mh . Rais siku ya kuzindua Bunge . Hapo ndipo nilipoanza kumtoa Mbowe kwenye thamani kabisa. Nikamfutilia Mbali kabisa kwenye orodha ya wanasiasa wenye nia nzuri na nchi yetu alipochukua tena form na kugombea Uenyekiti kwa awamu ya nne.
Mbowe anazeeka huku Chama chake kikiwa kinakufa kwa kasi ya ajabu.
Sijui angeacha Demokrasia ikashamiri ndani ya Chadema angepata hasara gani! Bora Mbowe angeachia mwingine Chama kisimfie mikononi mwake. Hakika Mbowe atafuta historia yake nzuri kwa uroho wa madaraka.
Wachawi wa vyama vya upinzani ni wenyeviti wao na sio CCM. CCM ya sasa ni Chadema asilia kwa hiyo kama Mbowe angecheza karata yake vizuri angekijenga Chama chake vizuri sana na kumwachia mwingine kiti kidemokrasia kabisa.
Ukiua Demokrasia kama Mbowe inabidi utumie nguvu kubwa kulinda kiti chako.
ACT Wazalendo kitakua Chama kikuu cha upinzani mana kinaongozwa na mtu aliyekua na maono ya kuujenga upinzani , ubinafsi wa Mbowe akamfukuza. Chama kitakachofuatia kwa kuwa na wabunge wengi kitakuwa ni NCCR kikifuatiwa na Chadema
Hoja mvurugiko. Kapumzike na unywe maji ya kutosha, akili ipate kutulia.Nani akuletee tume Huru Mezani.
Shindaneni kwa hoja sio kupinga pinga tu na kukejeli kila kitu bila kusoma hisia za wananchi.
Wananchi wengi wanamkubali sana Magufuli lakini hawaipendi CCM.
Na wananchi wengi wanaipenda Chadema lakini wamemchoka Mbowe na udikteta wake wa kung'ang'ania Uenyekiti bila ukomo.
Na Mbowe hataka kuonekana kuwa amechokwa na haungwi mkono matokeo yake anatumia muda mwingi kumshambulia Rais jambo linaloifanya CCM kupumua na Chadema kufa kwa sababu watanzania wengi wanaonyesha kukerwa na kejeli ya Mbowe na wapambe wake dhidi ya Rais.
Kama Mbowe atapita kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema ndio nitajua kweli kuwa Mbowe anakubalika ndani ya Chadema na hata nje ya Chadema.
Na nitamuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Unaakili ndogo Kama ncha ya chuchuMbowe ndie anataka chadema ife ili asiwepo wa kuhoji matumizi ya ruzuku na michango ya bilioni nane alizotafuna
Anajua kikifa Hakuna was kuhoji anaingia zake mitini kimya kimya kusitafuna
Tunashukuru Takukuru kumuwahi na kugundua ujanja wake
Mbowe anatamani chadema ife hata leo
Wale waloipa Tz mahela na Jiwe akaahidi hadharani kutoa shukrani?CHADEMA na ACT WAZALENDO wote wanatumika na wazungu sana
Nimepiga konyagi kama Mwenyekiti wa Chadema Mbowe.Hoja mvurugiko. Kapumzike na unywe maji ya kutosha, akili ipate kutulia.
Vya bure vina gharama kubwaNimepiga konyagi kama Mwenyekiti wa Chadema Mbowe.
Mliyowanunua ni mamluki na porojo zao ambazo nazo pamoja na juhudi za Jiwe na Ndugai, zimeshindwa kuwasaidia.Kwa nini mnapenda kudanganya na kujidanganya ati []CHADEMA ipo mioyoni mwa watu[], wa nani? Chama chochote ni wanachana ambao ni watu wenye mitazamo, mahitaji na nia tofauti...
Lini hiyo?Wamegundua kuwa chadema kwenye matumizi ya rasilimali fedha ni muchwa hivyo nchi inaweza kusimama kama watakuwa madalakani
Ha haaa kweli kabisa.Mbowe ndie anataka chadema ife ili asiwepo wa kuhoji matumizi ya ruzuku na michango ya bilioni nane alizotafuna
Anajua kikifa Hakuna was kuhoji anaingia zake mitini kimya kimya kusitafuna
Tunashukuru Takukuru kumuwahi na kugundua ujanja wake
Mbowe anatamani chadema ife hata leo
Weka nakala ya utafiti uliyoufanya.Kwa taarifa yako hakuna mtu wa kabila lingine anampenda Mbowe labda wale aliowahonga viti maalumu ambao pia wameanza kumwanika adharani.
Aanze na yule aliyejenga Chato International Airport kwa pesa ambayo haikupitishwa bungeMagufuli amekuja kufuta mafisadi wote na vyama vya kifisadi kama chama cha Mbowe.
Anybody home? Knock, knock, knock,Hutanielewa lakini wanaonielewa wote wanakimbia hicho chama na kujiunga na vyama vingine. Sababu kubwa sio Serikali Bali ni Mbowe watu hawamtaki kabisa hasa viongozi wenzake.
Kitendo cha Mbowe kugombea tena uenyekiti kimewakera wenzake ndio maana watu wengi wamefurahia k kitendo chake cha kuvunjwa mguu na Konyagi.
Muongezee Mbowe chupa moja kubwa ya Konyagi.