Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Sababu ni wajinga na waropokaji Wala hawana sifa ingine na vyama vingine vinavyo mu attack chadema vinaitaka nafasi yake hii ni Vita mura chadema yeye apambane na CCM ili aitoe madarakan na yeye watu wapo wanapambana wamtoe kwenye chama kikuu Cha upinzan so kila mmoja apambane kwa upande wake atae shinda Basi ndio mshind Ila Sio useme vyama vinataka kuiangamiza chadema mbona hata chadema anataka kumuangamiza CCM?
 
Adui yako Muombe njaa.
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi

Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea

Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?

Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?

Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
 
Mbowe ndie anataka chadema ife ili asiwepo wa kuhoji matumizi ya ruzuku na michango ya bilioni nane alizotafuna

Anajua kikifa Hakuna was kuhoji anaingia zake mitini kimya kimya kusitafuna

Tunashukuru Takukuru kumuwahi na kugundua ujanja wake

Mbowe anatamani chadema ife hata leo
Kama ndivyo kwanini asipendwe nawana CCM au cuf au nccr maana Kama lengo nikuiua chadema CCM isingetamani hata auache uwenyekiti hii ningumu kuitengenezea muvi niswali gumu Sana Hilo wenye hekima huamua kukaa kimya
 
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi

Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea

Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?

Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?

Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Hivyo ni vitengo vya CCM vya kuhujumu upinzani wa kweli
 
Ni sawa uwe na mgonjwa aliyekaa muda mrefu ICU, kuna wakati unaweza ukamuomba mungu amchukue ili kumpunguzia mateso.
 
Uelewa mdogo na njaa tu ndugu, vyama ulivyovitaja viongozi wake washapigwa hela. Mrema anatamani kubaki kwenye ajira yake, Lipumba Kama alivyoanza na Mbatia anatamani KUB.
 
Hivi ushauri wa kujenga Makao makuu ya Chadema Dodoma hayakua ya maana kweli?
Tuache siasa za chuki na kutothaminiana.
Ndio maana Mbowe hathamini michango ya hali na Mali ya wabunge wenzake. Anaongelea yeye tu kuwa nimefungwa,nimetoa Mali zangu,nimefilisiwa na kila kitu kwa kujionea huruma yeye tu na kuona kuwa fidia yake ni kukalia kiti. Anasahau wenzake wamumizwa na wamepata nafasi zao kwa dhiki kubwa tofauti na yeye aliyerithishwa utajiri na hata Chama.
Alipaswa kuwasikiliza na kuwapa wenzake nafasi pia baada ya yeye kupata nafasi na muda wake wa miaka kumi kuisha. Huo ndio uungwana .
Mandela alifungwa miaka 27 lakini alipopata urais aliamua kungatuka baada ya awamu moja tu...
We jamaa una muda mwingi sana wa kuandika upumbavu, chadema haiwaz majengo, hayo ni sehemu ndogo sana kwenye kujenga itikadi inayojal utu na maendeleo ya watu, Kila ukiandika mbowe, mbowe, hivi ni kiongoz yupi aliyeifanya hyo chadema ikawa chama kikuu cha upinzani, kitu ambacho unakijua na ndo mana mnapambana na Mbowe ni kuwa si lengo la chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, lengo la chadema ni kuwa chama tawala na hlo mnalijua ndo mana mnaweweseka, mnawa ahid nccr kuwa chama kikuu cha upinzan kwa kuitoa chadema as if nyie mataga ndo mliwapa chadema na sasa mnataka kuitoa

NCCR walivyo wapumbavu wameingia mkenge ati watapewa nafaa ya kuwa chama kikuu cha upinzan, ccm ndo wanagawa hyo nafas kwa wamtakaye?
 
Hatuwezi kufurahia mpumbavu anauyeharibu kazi iliyofanywa na watanzania wenye akili na busara kwa miaka zaidi ya 28 .
Mnajipofusha macho kwa sababu ya mlevi mmoja wa uenyekiti ,pombe, wanawake na msanii anayeua chama kilichojengwa na wasomi kama akina Dr. Slaa.

Lowasa na Sumaye wamepoteza rasilimali zao nyingi na walikua na watu wengi ndani na nje ya dola ,Mbowe akadhani yeye ndiye aliyeiweka Chadema . Akawafukuza wale wote waliotoka CCM wakiwa na kundi kubwa la watu .Bila aibu ametimua wasomi wote na Chama kimebaki bila watu wenye uwezo wa hata kuongoza kijiji .

Mtakuja kunielewa baada ya Uchaguzi Mbowe atakapobaki na Ofisi ya kupanga na kurudi kwenye enzi za kuchangishana kodi ndipo kila mtu atakapokimbia...

Maelezo mareefu, lakini hakuna la maana.

Nyie ndiyo mmeshika Dola na mihimili yote. Kama Mbowe ana matatizo lukuki kama unavyotaka kutuaminisha mmeshindwa nini kumchukulia hatua za kisheria?

Kitu ambacho kinaonekana wazi ni kuwa hamwezi kushindana na Mbowe kwa hoja. Ndiyo maana mmeamua kutumia shari.
 
Anayeiua Chadema ni Mbowe. Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.

Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.

Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake...
Mkuu hebu azima akili hata za mtu mwingine Maana kwa akili zako ndio maana umeandika upupu,Mbowe ndio anazuia mikutano,anawakamata viongozi wake na yeye,anajifungulia kesi ya kumuua akwilina ,anajipiga faini kisutu anajipeleka segerea
 
Sina shaka na maelezo yako mazuri na yanayojitosheleza. Tuje kwenye kile kinachoonekana hivi sasa ili tujiridhishe na maelezo yako. Je kwa hivi sasa CUF au NCCR wanaitazama cdm na ccm kama maadui wao?
Soma kwa umakini aya ya mwisho katika maelezo yangu utapata jibu la swali lako. Hata hivyo maneno yangu hayawakilishi msimamo wa vyama husika kuhusu CDM bali ni maoni yangu.
 
Vingi ya hivyo vyama sio vya upinzani n mataw ya ccm yaliyojificha upinzani
 
We jamaa una muda mwingi sana wa kuandika upumbavu, chadema haiwaz majengo, hayo ni sehemu ndogo sana kwenye kujenga itikadi inayojal utu na maendeleo ya watu, Kila ukiandika mbowe, mbowe, hivi ni kiongoz yupi aliyeifanya hyo chadema ikawa chama kikuu cha upinzani, kitu ambacho unakijua na ndo mana mnapambana na Mbowe ni kuwa si lengo la chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, lengo la chadema ni kuwa chama tawala na hlo mnalijua ndo mana mnaweweseka, mnawa ahid nccr kuwa chama kikuu cha upinzan kwa kuitoa chadema as if nyie mataga ndo mliwapa chadema na sasa mnataka kuitoa

Nccr walivyo wapumbavu wameingia mkenge ati watapewa nafaa ya kuwa chama kikuu cha upinzan, ccm ndo wanagawa hyo nafas kwa wamtakaye??
Kwa hiyo unaamini kuwa Mbowe ni mpinzani?

Mbowe ni MTU anayewaza nafsi yake ile Raha tuu hawazi shida za watanzania.
Magufuli amekuja kufuta mafisadi wote na vyama vya kifisadi kama chama cha Mbowe.
Mbowe ni mwizi anatestahili kufungwa gerezani sio kukaa Hospitalini .

Ameharibu mwelekeo mzima wa Demokrasia Tanzania.
Mwakani tutaelewana tu.
 
Maelezo mareefu, lakini hakuna la maana.

Nyie ndiyo mmeshika Dola na mihimili yote. Kama Mbowe ana matatizo lukuki kama unavyotaka kutuaminisha mmeshindwa nini kumchukulia hatua za kisheria?

Kitu ambacho kinaonekana wazi ni kuwa hamwezi kushindana na Mbowe kwa hoja. Ndiyo maana mmeamua kutumia shari.
Hoja zipi alizonazo Mbowe zaidi ya kejeli.
Ameshindwa na Zito aliyeanzisha chama chake na sasa ameshakijenga nchi nzima mpaka Visiwani.

Kwa taarifa yako hakuna mtu wa kabila lingine anampenda Mbowe labda wale aliowahonga viti maalumu ambao pia wameanza kumwanika adharani.

Hivi kama Mbowe anajiona kuwa yeye pekee ndiye anayeweza kuiongoza Chadema na haoni wa kumwachia uongozi mnashangaa nini aliyeshika nchi alisema kuwa haoni wa kumwachia nchi. ?
 
Mkuu hebu azima akili hata za mtu mwingine Maana kwa akili zako ndio maana umeandika upupu,Mbowe ndio anazuia mikutano,anawakamata viongozi wake na yeye,anajifungulia kesi ya kumuua akwilina ,anajipiga faini kisutu anajipeleka segerea
Hutanielewa lakini wanaonielewa wote wanakimbia hicho chama na kujiunga na vyama vingine. Sababu kubwa sio Serikali Bali ni Mbowe watu hawamtaki kabisa hasa viongozi wenzake.

Kitendo cha Mbowe kugombea tena uenyekiti kimewakera wenzake ndio maana watu wengi wamefurahia k kitendo chake cha kuvunjwa mguu na Konyagi.

Muongezee Mbowe chupa moja kubwa ya Konyagi.
 
Yesu wenu apige marufuku vyama vya upinzan kufanya siasa asimgizie Mbowe
Yesu wenu ainjinie kununua wabunge na viongoz wa vyama vya upinzan unasema Mbowe
Yesu wenu aongoze kupotea ka akina Ben Saanane, Kanguye, kuteka watu na kuua mseme Mbowe
Kwa hiyo unaamini kuwa Mbowe ni mpinzani?

Mbowe ni MTU anayewaza nafsi yake ile Raha tuu hawazi shida za watanzania.
Magufuli amekuja kufuta mafisadi wote na vyama vya kifisadi kama chama cha Mbowe.
Mbowe ni mwizi anatestahili kufungwa gerezani sio kukaa Hospitalini .

Ameharibu mwelekeo mzima wa Demokrasia Tanzania.
Mwakani tutaelewana tu.
 
Yesu wenu apige marufuku vyama vya upinzan kufanya siasa asimgizie Mbowe
Yesu wenu ainjinie kununua wabunge na viongoz wa vyama vya upinzan unasema Mbowe
Yesu wenu aongoze kupotea ka akina Ben Saanane, Kanguye, kuteka watu na kuua mseme Mbowe
Hatuwezi kutumia uovu wa MTU mwingine yeyote kujenga mfumo mwingine mbaya zaidi.

Najua mnanielewa sana Ila mnatetea shetani wenu kama wale wanaomtetea yesu wao. Chadema chini ya Mbowe nawahakikishia kitafutiliwa mbali na watanzania wataendelea na maisha yao na maendeleo makubwa yataonekana. Kukwete alifanya mengi mazuri mpaka katiba mpya.

Badala ya kuzungumzia mambo ya msingi kama mifumo ya Elimu na mifumo ya siasa inayotupa viongozi wahovyo na walevi mkaanza kuzungumzia madaraka ya urais na namna ya kushinda chaguzi tuu matokeo yake CCM ikashtuka.Sasa katiba mpya tumeikosa na walevi waliotuingiza mkenge wanazidi kutumika kuua Demokrasia.

Jambo usilolijua ni kuwa Mbowe anatumiwa na Makundi ndani ya CCM kuangamizana. Magufuli anajua kila kitu ndio maana anawafungua Macho watanzania ili wachukue Tahadhari dhidi ya Wanasiasa wabinafsi wanaowahadaa wananchi.

Magufuli hajawahi kuwachukia Wapinzani ndio maana kuna watu kama akina Heche wapo na wanapambana kwa akili. Mbowe ameshindwa kuifundisha CCM namna bora zaidi ya kuleta maendeleo kwa kuwashirikisha wananchi wenyewe.

Hivi Jimbo la Hai ni jimbo la kusubiri serikali ilete fedha za kujenga miundo mbinu. Mbona Mbatia amehamasisha wapiga kura wake mpaka wanaweka barabara lami?

Unataka Rais amkubali Mlevi Mbowe au Mbunifu na Mzalendo kama Mbatia? Hivi wabunge wote wa upinzani wangetumia Mbinu ya Mbatia kujiletea maendeleo kwenye majimbo yao nani angekubali kuwahujumu wapinzani zaidi ya kuijenga nchi bila kugombania fito.

Chini ya Mbowe ni bora Chadema ife kabisa na nitahakikisha inakufa mana hatuwezi kamwe kuongozwa na Mhuni,Mlevi,Mzinzi, muuaji,Mwizi,tapeli wa kisiasa, muongo,dikteta, beberu, Mhujumu uchumi, mkabila ,muuaji na mpinga maendeleo.

Show ya kwanza ni kumnyang'anya jimbo la Hai. Akikosa bunge la kupinga maendeleo huku akiwa anasahau kuwa analipwa na serikali anayoitukana na kukejeli hapo itabidi arudi kwenye ofisi ya SACOS yake na kule tutahakikisha inatumia mpaka hela zake toka mfukoni kulipa kodi ili ajue umuhimu wa kujenga ofisi aliouchezea wakati akiwa analipwa Ruzuku.

Mbowe alitaka kutumia Uhuru wa Demokrasia ndani ya nchi kumhujumu mh. Magufuli kwa faida ya makundi ndani ya CCM.
Haiwezekani Mbowe azungumzie Demokrasia ndani ya nchi wakati yeye haonyeshi hata dalili ya kuruhusu Demokrasia kwenye kiti kidogo kama cha uenyekiti kwenye hiyo Sacos yake.

Hivi ni kipi kirahisi? :- Kuachia wengine kiti cha uenyekiti baada ya muda kuisha au kuachia Urais? Kama Mbowe anaamini hakuna Mtanzania popote wa kuwachia Chadema anashangaa nini Akina Mkamia wakisema Mh. Magufuli hana mbadala wa kumwachia Ikulu kutokana na msimamo wake dhidi ya Wezi na wahujumu uchumi ,ujenzi wa reli ya kisasa, ndege, umeme na maendeleo makubwa aliyoyafanya kwenye jiji la Dodoma ,Chato, Dar es Salaam, na kwingineko?

Au ni lipi Mbowe analolilalamikia kuhusu Uhuru wa kidemokrasia toka kwenye serikali ya Magufuli lakini kwenye chama chake halifanyiki tena kwa faida yake mwenyewe.??
 
Back
Top Bottom