Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Nimekuambia kama wananchi hawampend Mbowe leteni tume huru ya uchaguzi, mbona kazi nyepesi tu, tunashindana hapa wakat kuna njia rahisi ya ku prove wrong mimi au wewe?

Mbowe hapendwi anapendwa maguful, leten hyo tume huru na mtoe uhuru wa kujieleza bila kutumia policcm, neccm na wakurugenccm tuone uhalisia
Nani akuletee tume Huru Mezani.
Shindaneni kwa hoja sio kupinga pinga tu na kukejeli kila kitu bila kusoma hisia za wananchi.

Wananchi wengi wanamkubali sana Magufuli lakini hawaipendi CCM.
Na wananchi wengi wanaipenda Chadema lakini wamemchoka Mbowe na udikteta wake wa kung'ang'ania Uenyekiti bila ukomo.

Na Mbowe hataka kuonekana kuwa amechokwa na haungwi mkono matokeo yake anatumia muda mwingi kumshambulia Rais jambo linaloifanya CCM kupumua na Chadema kufa kwa sababu watanzania wengi wanaonyesha kukerwa na kejeli ya Mbowe na wapambe wake dhidi ya Rais.

Kama Mbowe atapita kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema ndio nitajua kweli kuwa Mbowe anakubalika ndani ya Chadema na hata nje ya Chadema.
Na nitamuunga mkono kwa asilimia mia moja.
 
Nimekuambia kama wananchi hawampend Mbowe leteni tume huru ya uchaguzi, mbona kazi nyepesi tu, tunashindana hapa wakat kuna njia rahisi ya ku prove wrong mimi au ww?? Mbowe hapendwi anapendwa maguful, leten hyo tume huru na mtoe uhuru wa kujieleza bila kutumia policcm, neccm na wakurugenccm tuone uhalisia
Nawashangaa watu wanaomlinganisha Mbowe na Mh. Magufuli. Magufuli ana historia kubwa sana ya utendaji kazi kwa zaidi ya miaka 25 akiwa waziri na Rais. Amefanya kazi inayoonekana sio maneno kama Mbowe.

Mbowe ameshindwa kujenga Ofisi ya makao makuu ya Chama kwa miaka 17 sasa ya uenyekiti wake. MTU kama huyo huwezi hata kumlinganisha na mwenyeki wa Kiji cha Songambele.

Wanachama wako Tayari kuchanga mil.300 kwa siku nne kulipia faini ya wahalifu watashindwa vipi kuchanga fedha za kujenga ofisi ya Chama?

Porojo na uzushi wa jukwaani Mbowe anaweza lakini utendaji ni ziro.
 
Katika hayo aliyofanya maguful alitumia pesa yake ngap?? Unawaza ofisi?? Kwa jinsi alivyo na hasira huyo maguful angekuwa ndiye yupo kwenye nafas ya mbowe huenda angeshajinyonga

Leteni tume huru ya uchaguzi, weken polis kando, tiss kando, wakurugenz ambao ni ccm kando

Mwisho tuone jinsi alivyofel Mbowe na alivyofanikiwa Maguful na Ccm yake
Nawashangaa watu wanaomlinganisha Mbowe na Mh. Magufuli.
Magufuli ana historia kubwa sana ya utendaji kazi kwa zaidi ya miaka 25 akiwa waziri na Rais.
Amefanya kazi inayoonekana sio maneno kama Mbowe.

Mbowe ameshindwa kujenga Ofisi ya makao makuu ya Chama kwa miaka 17 sasa ya uenyekiti wake.
MTU kama huyo huwezi hata kumlinganisha na mwenyeki wa Kiji cha Songambele.
Wanachama wako Tayari kuchanga mil.300 kwa siku nne kulipia faini ya wahalifu watashindwa vipi kuchanga fedha za kujenga ofisi ya Chama ??
Porojo na uzushi wa jukwaani Mbowe anaweza lakini utendaji ni ziro.
 
Anayeiua Chadema ni Mbowe. Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.

Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.

Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake.

Serikali nzima ya Awamu ya Tano iliingia ikiwa na imani ya kupata sapoti kubwa kutoka Chadema kuliko kutoka CCM kwani wengi walikua ni wale walikua wanachukizwa na ufisadi,uzembe, ubabaishaji,wizi,rushwa umangi meza na kila aina ya uhalifu uliokuwa unafanywa na watawala.

Cha ajabu Mbowe alibadili gia angani na kupinga kila kitu mpaka ushauri mzuri wa kujenga makao makuu ya Chadema Dodoma aliokuwa amepewa na Mh . Rais siku ya kuzindua Bunge . Hapo ndipo nilipoanza kumtoa Mbowe kwenye thamani kabisa. Nikamfutilia Mbali kabisa kwenye orodha ya wanasiasa wenye nia nzuri na nchi yetu alipochukua tena form na kugombea Uenyekiti kwa awamu ya nne.
Mbowe anazeeka huku Chama chake kikiwa kinakufa kwa kasi ya ajabu.

Sijui angeacha Demokrasia ikashamiri ndani ya Chadema angepata hasara gani! Bora Mbowe angeachia mwingine Chama kisimfie mikononi mwake. Hakika Mbowe atafuta historia yake nzuri kwa uroho wa madaraka.

Wachawi wa vyama vya upinzani ni wenyeviti wao na sio CCM. CCM ya sasa ni Chadema asilia kwa hiyo kama Mbowe angecheza karata yake vizuri angekijenga Chama chake vizuri sana na kumwachia mwingine kiti kidemokrasia kabisa.

Ukiua Demokrasia kama Mbowe inabidi utumie nguvu kubwa kulinda kiti chako.

ACT Wazalendo kitakua Chama kikuu cha upinzani mana kinaongozwa na mtu aliyekua na maono ya kuujenga upinzani , ubinafsi wa Mbowe akamfukuza. Chama kitakachofuatia kwa kuwa na wabunge wengi kitakuwa ni NCCR kikifuatiwa na Chadema
Sijui ndio umeandika nini!!
 
Back
Top Bottom