Kwa nini mnapenda kudanganya na kujidanganya ati []CHADEMA ipo mioyoni mwa watu[], wa nani? Chama chochote ni wanachana ambao ni watu wenye mitazamo, mahitaji na nia tofauti.
Mnasahau au mnadharau ukweli kwamba viongozi wana watu nyuma yao. Wanapohama chama na wengi wa wafuasi wao pia hukihama chama. Fanya hesabu ifuatayo, kujua idadi ya watu CHADEMA inapoteza kwa kuhamwa na kila:-...
Kama ccm inavyokutumia wew bila kujijua kuwa imekufanya zwazwa LA lumumbaKwasababu Chadema wanatumika na Mabeberu
Ni hatari kwa Nchi yetu
Kwanini vyama vyingi vinataka chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali,ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka ccm iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Chadema ni mkombozi wa kweli wa watanzania. Ndio maana ccm beberu na wake zake hawaachi kuisimangaKwanini vyama vyingi vinataka chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea...
Hivyo vyama chini ya ccm nisawa na kumpeleka punda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji Vitapelekwa majimboni lakini havita pata wafuasi kwenye kampeni itakuwa aibuVyama mamluki
Vp Anna Ngwira atagombea tena urais?Anayeiua Chadema ni Mbowe,
Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.
Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.
Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake.
Serikali nzima ya Awamu ya Tano iliingia ikiwa na imani ya kupata sapoti kubwa kutoka Chadema kuliko kutoka CCM kwani wengi walikua ni wale walikua wanachukizwa na ufisadi,uzembe, ubabaishaji,wizi,rushwa umangi meza na kila aina ya uhalifu uliokuwa unafanywa na watawala.
Cha ajabu Mbowe alibadili gia angani na kupinga kila kitu mpaka ushauri mzuri wa kujenga makao makuu ya Chadema Dodoma aliokuwa amepewa na Mh . Rais siku ya kuzindua Bunge . Hapo ndipo nilipoanza kumtoa Mbowe kwenye thamani kabisa. Nikamfutilia Mbali kabisa kwenye orodha ya wanasiasa wenye nia nzuri na nchi yetu alipochukua tena form na kugombea Uenyekiti kwa awamu ya nne.
Mbowe anazeeka huku Chama chake kikiwa kinakufa kwa kasi ya ajabu.
Sijui angeacha Demokrasia ikashamiri ndani ya Chadema angepata hasara gani !
Bora Mbowe angeachia mwingine Chama kisimfie mikononi mwake. Hakika Mbowe atafuta historia yake nzuri kwa uroho wa madaraka.
Wachawi wa vyama vya upinzani ni wenyeviti wao na sio CCM.
CCM ya sasa ni Chadema asilia kwa hiyo kama Mbowe angecheza karata yake vizuri angekijenga Chama chake vizuri sana na kumwachia mwingine kiti kidemokrasia kabisa.
Ukiua Demokrasia kama Mbowe inabidi utumie nguvu kubwa kulinda kiti chako.
ACT Wazalendo kitakua Chama kikuu cha upinzani mana kinaongozwa na mtu aliyekua na maono ya kuujenga upinzani , ubinafsi wa Mbowe akamfukuza.
Chama kitakachofuatia kwa kuwa na wabunge wengi kitakuwa ni NCCR kikifuatiwa na Chadema
Ongezea na kigogo pia yumo japo hapa jf hatajwi sanaBaada ya mapenzi kinacho fuata kupendwa zaidi na watanzania ni chadema.
Hata hapa JF hivi vitu viwili vinatajwa sana.

Rais yupo na anafanya mambo mazuri mengi kwa manufaa ya Tanzania na Dunia nzima.Vp Anna Ngwira atagombea tena urais?
Ndio chama tishio si unona wameshindwa siasa za ustaarabu sasa wanatumia nguvu na vitisho. CDM tishio.Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Anayeiua Chadema ni Mbowe. Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.
Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.
Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake.
Serikali nzima ya Awamu ya Tano iliingia ikiwa na imani ya kupata sapoti kubwa kutoka Chadema kuliko kutoka CCM kwani wengi walikua ni wale walikua wanachukizwa na ufisadi,uzembe, ubabaishaji,wizi,rushwa umangi meza na kila aina ya uhalifu uliokuwa unafanywa na watawala.
Cha ajabu Mbowe alibadili gia angani na kupinga kila kitu mpaka ushauri mzuri wa kujenga makao makuu ya Chadema Dodoma aliokuwa amepewa na Mh . Rais siku ya kuzindua Bunge . Hapo ndipo nilipoanza kumtoa Mbowe kwenye thamani kabisa. Nikamfutilia Mbali kabisa kwenye orodha ya wanasiasa wenye nia nzuri na nchi yetu alipochukua tena form na kugombea Uenyekiti kwa awamu ya nne.
Mbowe anazeeka huku Chama chake kikiwa kinakufa kwa kasi ya ajabu...
Hatuwezi kufurahia mpumbavu anauyeharibu kazi iliyofanywa na watanzania wenye akili na busara kwa miaka zaidi ya 28 .Kama Mbowe anaiua Chadema nyie mnahangaika nini sasa?!
Si mngefurahi na kushangilia kuwa anawarahisishia kazi?!
Hilo ni takwa la kikatiba. JitambueRais yupo na anafanya mambo mazuri mengi kwa manufaa ya Tanzania na Dunia nzima.
Tujikite kwenye Ubunge na udiwani na namna ya kupunguza nguvu ya CCM bungeni.
Chadema wanapoteza muda kuhangaika na Magufuli wakati wanajua wazi kabisa kuwa hawawezi kumshinda kwa awamu hii ya pili mana amjizoelea umaarufu dunia nzima.
Mtoa mada umeuliza swali muhimu sana kwa siasa za nchi hii lakini pia inaonekana huijui vizuri CDM chini ya uongozi wa Mbowe.
Bila shaka hufahamu kwamba chama hiki kimekuwa kikitumia vibaya nafasi yake ya "chama kikuu cha upinzani". CHADEMA imekuwa na misimamo hasi dhidi ya vyama vingine vyenye ushawishi kama ifuatavyo.
1. CHADEMA imekuwa ikivitenga vyama vingine kuunda kambi ya upinzani kama ilivyokuwa kabla ya chama hiki kuwa chama kikuu cha upinzani. Kumbuka matumizi ya msamiati wa "kambi rasmi ya upinzani" hayakuwepo kabla ya uchaguzi wa 2010, bali kulikuwa na "kambi ya upinzani". Msingi wa matumizi ya msamiati huu, "rasmi", ni ubaguzi wa CHAFEMA dhidi ya vyama vingine vya upinzani vyenye wabunge. Ni kwamba msamiati huu ulilenga kuipambanua CHADEMA peke yake bungeni na kuminya wabunge wa vyama vingine vya upinzani.
2. Kuvisema vibaya vyama vingine. CHADEMA imekuwa ikitoa kauli za kejeli dhidi ya vyama vya upinzani na viongozi wake. NCCR na CUF vimeitwa "CCM B". James Mbatia aliitwa "mbunge wa viti maalum" kwavile aliteuliwa na Rais Kilwete kuwa mbunge. Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amewahi kumtaja Lipumba kuwa ni "Politically Irrelevant" na "msaliti" eti kwavile tu alipinga maamuzi yake ya kumsimamisha Lowassa wa CCM kugombea urais kupitia UKAWA...
Hatuwezi kufurahia mpumbavu anauyeharibu kazi iliyofanywa na watanzania wenye akili na busara kwa miaka zaidi ya 28 .
Mnajipofusha macho kwa sababu ya mlevi mmoja wa uenyekiti ,pombe, wanawake na msanii anayeua chama kilichojengwa na wasomi kama akina Dr. Slaa.
Lowasa na Sumaye wamepoteza rasilimali zao nyingi na walikua na watu wengi ndani na nje ya dola ,Mbowe akadhani yeye ndiye aliyeiweka Chadema . Akawafukuza wale wote waliotoka CCM wakiwa na kundi kubwa la watu .Bila aibu ametimua wasomi wote na Chama kimebaki bila watu wenye uwezo wa hata kuongoza kijiji...