lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?