Greataziz
Senior Member
- Feb 8, 2018
- 124
- 99
Huwa napata hasira sana aisee Kwanini Viongozi hasa wa amamu hii wanaonea wivu sana vijana waliojiajiri wakitoboa.
Mfano: Ipo mingi sana Hasa wanaopiga issue za mitandaoni ukienda bank hasa hizi bank zenye serikali ina hisa kubwa kuanzia ma manager wanaanza kukupeleleza hata wakijua una fanya kazi halali kabisa wanaanza kushikilia miamala yako pasipo na sababu za msingi mradi tu wakusumbue kwani wivu unatoka wapi hasa kwa viongozi kwanini wasiache vijana wapambane na hali zao kujipatia kipato ilihali ni halali sio wizi wa aina yeyote
NB: Naongelea kazi halali kabisa za online ziko kibao sana sitaki kuanza kutaja hapa hapatatosha achana na wale matapeli.
Picha haihusiani na Mada Tajwa