Kaka yangu Mwigulu, kwanini tusianzie hapa?

Makonyeza

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
72
Reaction score
261
Kaka yangu Mwigulu kwanini tusianzie hapa?

Huwa ninakuona mara zote ukivaa Tai ya rangi za bendera ya taifa kujinasibisha na uzalendo uliokomaa.
Ninaamini kiongozi mzalendo kama wewe kwanza angefikiria kujinyima binafsi na kisha kuishawishi serikali na viongozi wenzake kujinyima kwa faida ya mwananchi wa kawaida wa Tanzania.
Ninatambua jitihada zako unazofanya kama waziri wa fedha wa Jamhuri yetu, ninajua usiku hulali ukitafuta na kubuni njia mbalimbali za halali za kuiwezesha serikali kukusanya fedha kwa sababu za kibajeti, na hasa ikizingatiwa kwa taalum yako kama Mchumi mwenye ufaulu mzuri chuoni.
Sasa katika kuthibitisha werevu wako katika bahari ya uchumi ukichanganya na uzalendo kwa nchi yako, nilitarajia haraka sana badala ya kuendelea kumuuumiza mwananchi ambaye bado hajasahau maumivu ya Tozo za miamala ya simu, mfumuko wa bei na mengineyo yenye kuuliza, ungefikiria Sasa kuishawishi serikali kubana matumizi kwa kuachana na matumizi makubwa yasiyo ya lazima.
Viongozi wakubwa Afrika wakiheshimiwa kwa uzalendo wao kutokana na Alama walizoziacha kwa matendo Yao yaliyotafsiri uzalendo wao kwa vitendo, hawakuhitaji kujifaharisha ili waheshimiwa.
Mimi ninaamini kiongozi anaweza kutimiza majukumu yake hata akiwa ndani ya gari aina ya Toyota harrier ya Tshs. 20,000,000/-.(mtumba).
Nakumbuka nimesoma maandiko mbalimbali ya kihistoria, baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya vita ya KAGERA alitoa tamko la kuwataka watanzania kufunga MKANDA katika kuikabili hali ngumu alimaanisha kujinyima kwa faida ya taifa.
Viongozi wa Sasa nasikitika kusema hawana Spirit hiyo, wako radhi kutumia muda wao bungeni kujadili namna ya kuiongezea maslah kila kukicha na kisha baada ya hapo wakishapitisha ya kwao waanze kujadili namna ya kumkamua mwananchi ili ipatikane fedha ya kuwanunulia viongozi magari mazuri, nyumba nzuri na kila aina ya maposho manonomanono.
Kodi na Tozo zote wanazopitisha ni kwa ajili yetu huku wao wakijitoa, hii sijui niiiteje. Ebu tembelea pale daraja la Kigamboni utakutana na Tangazo lenye orodha ya magari yanayoruhusiwa kupita bila kulipa Tozo ya daraja. Orodha hiyo inaundwa na magari ya viongozi pekee, [emoji1787][emoji1787]na huu utaratibu WA viongozi kujitenga na uchangiaji wa mfuko wa taifa sijui tumeiga kutoka wapi. Nilitarajia basi wao wangekuwa ndo mfano. Nakumbuka ile picha ya mwalim akiwa katika foleni fulani, viongozi wetu hawajifunzi kwa picha ile?
Kiongozi wa leo anathubutu kutufanyia mzaha wa Kuwaambia viongozi wazime magari yao wanapokuwa nje yake eti wanabana matumizi bila kutuambia hiyo fedha inayookolewa inakusanywa vipi wakati posho za Mafuta zikilipwa kama kawaida.
Matumizi ya Tshs. 558 Bilioni kila mwaka kununua tu magari ya viongozi ni aina moja wapo ya matumizi mabaya ya fedha zetu.
Kiongozi anaweza kuwa mzuri kwa matendo yake kwa Wananchi ba wala si kwa kuendesha V8 ya Milioni 200.

Hivi Unajua Bilion 558?

-Ni fedha zenye uwezo wa kulipa fedha zote zinazodaiwa na NSSF kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni na wananchi wakapita bure na chenji inabaki! Kwa lugha nyingine inaweza kujenga madaraja mawili yenye hadhi na lile la Kigamboni. Daraja la Kigamboni limejengwa kwa wastani wa fedha za kitanzania Bilioni 300, vyanzo vya taarifa vinahitilafiana!
-Ni fedha unayoweza kujenga viwanja vinne vya soka vywnye hadhi sawa sawa na Uwanja wa Benjamin MKAPA! Ninmaanisha. Uwanja wa mkapa umejengwa kwa Dola za kimarekani Milioni 56 sawa na Bilioni 130. 8 na ushee! Hapa tunaizungunzia Dola za Marekani 558/-USD.
-ina uwezo wa kununua vivuko kama Mv. MAGOGONI 69. Nakukumbusha tu kivuko kimoja cha Mv. MAGOGONI kimegharimu Tshs. 8 Bil. Namba hazidanganyi
Sijasema kuhusu mahospitali, mabarabara na huduma nyingine za kijamii ambazo zinahitaji bajeti ya hizo Bilioni kadhaa tu!

Sasa hiyo fedha Bil 558/- inatajwa kutumika kila mwaka!!! Kama upo sawa kichwani utaelewa ninachojaribu kusema.

Ebu badala ya kuvaa Tai ya bendera ya taifa tukaunadi uzalendo wetu kwa vitendo tukiongozwa na dhati ya Moyo wenye kuhofia Mungu na wenye kutambua kwamba kuna siku tutaulizwa kuhusu hivi vyeo tulivyonavyo!

#thecitizentz
#thecitizen
IMG-20220616-WA0004.jpg
 
#thecitizenView attachment 2264935
Ukiwa una njaa ndipo unaweza kuwaza haya......lkn naww ukiingizwa kwenye system.....hautakumbuka hivi vitu[emoji23][emoji23]
 
Nikianza kufikiria unyama wanaofanya wanasiasa, hasira ninayoipata haipimiki. Wiki iliyopita nilipata trip ya kwenda kijiji flani kilichopo ktk halmashauri ya kondoa vijijini kwa jina Itololo. Njiani unapopita mpaka kufika kijijini huko, ukiangalia Maisha wanayoishi yanatishaa! Licha ya hivyo lkn barabara yenyewe inayokwenda kijijini huko sasa ndo kasheshe yaani barabara mbovu sijapata kuona na sikuwahi kufikiria kama Tanzania kuna barabara kama za namna ile. Mungu ibariki Tanzania...
 
Hakuna Mzalendo asiyekuwa na Uchungu na Mwananchi wa chini.

Uzalendo sio kuvaa Tai au scarf ya bendera ya Taifa, Uzalendo ni Kuwajali wananchi katika hali zao ngumu na sio kuwapendezesha viongozi wa juu
 
Kaka yangu Mwigulu kwanini tusianzie hapa?

Huwa ninakuona mara zote ukivaa Tai ya rangi za bendera ya taifa kujinasibisha na uzalendo uliokomaa.
Ninaamini kiongozi mzalendo kama wewe kwanza angefikiria kujinyima binafsi na kisha kuishawishi serikali na viongozi wenzake kujinyima kwa faida ya mwananchi wa kawaida wa Tanzania.
Ninatambua jitihada zako unazofanya kama waziri wa fedha wa Jamhuri yetu, ninajua usiku hulali ukitafuta na kubuni njia mbalimbali za halali za kuiwezesha serikali kukusanya fedha kwa sababu za kibajeti, na hasa ikizingatiwa kwa taalum yako kama Mchumi mwenye ufaulu mzuri chuoni.
Sasa katika kuthibitisha werevu wako katika bahari ya uchumi ukichanganya na uzalendo kwa nchi yako, nilitarajia haraka sana badala ya kuendelea kumuuumiza mwananchi ambaye bado hajasahau maumivu ya Tozo za miamala ya simu, mfumuko wa bei na mengineyo yenye kuuliza, ungefikiria Sasa kuishawishi serikali kubana matumizi kwa kuachana na matumizi makubwa yasiyo ya lazima.
Viongozi wakubwa Afrika wakiheshimiwa kwa uzalendo wao kutokana na Alama walizoziacha kwa matendo Yao yaliyotafsiri uzalendo wao kwa vitendo, hawakuhitaji kujifaharisha ili waheshimiwa.
Mimi ninaamini kiongozi anaweza kutimiza majukumu yake hata akiwa ndani ya gari aina ya Toyota harrier ya Tshs. 20,000,000/-.(mtumba).
Nakumbuka nimesoma maandiko mbalimbali ya kihistoria, baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya vita ya KAGERA alitoa tamko la kuwataka watanzania kufunga MKANDA katika kuikabili hali ngumu alimaanisha kujinyima kwa faida ya taifa.
Viongozi wa Sasa nasikitika kusema hawana Spirit hiyo, wako radhi kutumia muda wao bungeni kujadili namna ya kuiongezea maslah kila kukicha na kisha baada ya hapo wakishapitisha ya kwao waanze kujadili namna ya kumkamua mwananchi ili ipatikane fedha ya kuwanunulia viongozi magari mazuri, nyumba nzuri na kila aina ya maposho manonomanono.
Kodi na Tozo zote wanazopitisha ni kwa ajili yetu huku wao wakijitoa, hii sijui niiiteje. Ebu tembelea pale daraja la Kigamboni utakutana na Tangazo lenye orodha ya magari yanayoruhusiwa kupita bila kulipa Tozo ya daraja. Orodha hiyo inaundwa na magari ya viongozi pekee, [emoji1787][emoji1787]na huu utaratibu WA viongozi kujitenga na uchangiaji wa mfuko wa taifa sijui tumeiga kutoka wapi. Nilitarajia basi wao wangekuwa ndo mfano. Nakumbuka ile picha ya mwalim akiwa katika foleni fulani, viongozi wetu hawajifunzi kwa picha ile?
Kiongozi wa leo anathubutu kutufanyia mzaha wa Kuwaambia viongozi wazime magari yao wanapokuwa nje yake eti wanabana matumizi bila kutuambia hiyo fedha inayookolewa inakusanywa vipi wakati posho za Mafuta zikilipwa kama kawaida.
Matumizi ya Tshs. 558 Bilioni kila mwaka kununua tu magari ya viongozi ni aina moja wapo ya matumizi mabaya ya fedha zetu.
Kiongozi anaweza kuwa mzuri kwa matendo yake kwa Wananchi ba wala si kwa kuendesha V8 ya Milioni 200.

Hivi Unajua Bilion 558?

-Ni fedha zenye uwezo wa kulipa fedha zote zinazodaiwa na NSSF kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni na wananchi wakapita bure na chenji inabaki! Kwa lugha nyingine inaweza kujenga madaraja mawili yenye hadhi na lile la Kigamboni. Daraja la Kigamboni limejengwa kwa wastani wa fedha za kitanzania Bilioni 300, vyanzo vya taarifa vinahitilafiana!
-Ni fedha unayoweza kujenga viwanja vinne vya soka vywnye hadhi sawa sawa na Uwanja wa Benjamin MKAPA! Ninmaanisha. Uwanja wa mkapa umejengwa kwa Dola za kimarekani Milioni 56 sawa na Bilioni 130. 8 na ushee! Hapa tunaizungunzia Dola za Marekani 558/-USD.
-ina uwezo wa kununua vivuko kama Mv. MAGOGONI 69. Nakukumbusha tu kivuko kimoja cha Mv. MAGOGONI kimegharimu Tshs. 8 Bil. Namba hazidanganyi
Sijasema kuhusu mahospitali, mabarabara na huduma nyingine za kijamii ambazo zinahitaji bajeti ya hizo Bilioni kadhaa tu!

Sasa hiyo fedha Bil 558/- inatajwa kutumika kila mwaka!!! Kama upo sawa kichwani utaelewa ninachojaribu kusema.

Ebu badala ya kuvaa Tai ya bendera ya taifa tukaunadi uzalendo wetu kwa vitendo tukiongozwa na dhati ya Moyo wenye kuhofia Mungu na wenye kutambua kwamba kuna siku tutaulizwa kuhusu hivi vyeo tulivyonavyo!

#thecitizentz
#thecitizenView attachment 2264935
MWIGULU sio MZALENDO MZALENDO WA NCHI HII NI Hayati NYERERE na SOKOINE wamefariki Masikini wa Kutupwa walitaka Wananchi wao ndio Wawe MATAJIRI
Angalia UZALENDO wa Mwigulu huuu hapa
20220617_235626.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
MWIGULU sio MZALENDO MZALENDO WA NCHI HII NI Hayati NYERERE na SOKOINE wamefariki Masikini wa Kutupwa walitaka Wananchi wao ndio Wawe MATAJIRI
Angalia UZALENDO wa Mwigulu huuu hapaView attachment 2265066

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Yaani kajamaa kanafki sanaaa, kanapiga kelele za kubana matumizi halafu anaingia na msafara bungeni just tu kusoma bajetii!!
 
Haya mambo bwana. Mwigulu Hana tofauti yule alikuwa anatembea na bendera Kwa mikono +Ilani isiyotekelezeka kwenye Wazara ya mambo ya ndani.
Nchi hii wakimaliza kulamba asali, watalamba mioyo yetu
 
Back
Top Bottom