FABIO MLONGE
Member
- Jun 25, 2014
- 6
- 0
Too deep topic for me to discuss
Hahahah....mi popo. Poa umesomeka kwa hiyo ukiwa unazaa unatakiwa uwaandalie wanao future mapemaaa
Sasa wanavaa kondom watoto watapataje.
Hivi umuhimu wa kizazi kuendelea ni upi?Ni kwel jamii inahimiza vijana kuoa / kuolewa mapema ili kuacha kumbukumbu na kuendeleza kizazi
Machungu yanakuwepo no matter ana mke or mtoto.japo akiwa na watoto na mke na ikatokea kwa bahat mbaya alikuwa hajawaandalia future inauma zaid.
Kuzaa ni muhimu ili kizazi, ukoo, undugu usipotee tunataka mwendelezo
Kimsingi hakuna kinachonsaidia marehemu
Wala hakuna mahusiano kati ya faida kwa maana ya faida na aliyefariki
Hakuna tofauti kati ya kuzaa na kutokuzaa linapokuja suala la kufariki
Hizi mambo za kuambiana kuwa sijui bora ameacha hiki au kile,huo ubora sijui ni upi!
Mtu akifa ameacha huwa hayazungumzwi.... Ila ikitokea kijana lets say wa miaka 30 hivi af hajaacha mtoto lazima watu walalamike kwamba bora angezaa hata mtoto (yatima)
Mada nzuri hii
Nakubaliana na mdau hapo juu kwamba uwe umeoa au hujaoa lazima utaacha maumivu tu na hio fikra ya kwamba ukifariki ukiwa umeoa utaacha jina au mjane ni majaaliwa tu hakuna anayetaka kufa kabla hajakula maisha lakini ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wetu...unaweza ufariki na mtoto afariki vielvile na unaweza uoe na usijaaliwe mtoto Mtu aoe akiwa tayari kuoa na aishi kwa kujua kifo kipo na kinaweza kutokea wakati wowote,kwahio furahia maisha wakati unaporuhusu na si kwa kuwanufaisha watu!
Hivi umuhimu wa kizazi kuendelea ni upi?
Unaweza kuzaa mtoto halafu akawa jambazi, au kahaba, au mvuta unga, sasa huoni kama anakuharibia jina tu. Mtoto mipango ya Mungu, lolote linawezekana, ndo maana tukafunzwa kumuomba, kumwachia yeye akuchagulie, kumwamini na kumshukuru.
Kuslide tena? Ndio nini?