vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi

sasa kwa nini wasiufanye umaridadi huo na vijana wenzio? Huko kwa mamazao kuna nini?

Hivi mkisema wamama watu wazima anaanzia umri gani, swali tu nijibiwe

Mada zingine lol

Mie msomaji leo
Mada zingine lol
Mie msomaji leo

vijana

Kupenda

Hela

Asiyoitolea

Jasho.

Hiyo HAPO juu ndo main reason,nani anayependa kutembea na mtu wa umri wa mama ake?

Mimi binafsi na MPZ ambae kanipga gepu la umri,but hana hela,ni mwalimu wa shule ya msingi,na mimi ni mwanachuo.

Kwa mimi ni real lov cjui kwa wengine.
Aslaam alekhum wana Jf.Wengine tumsifu yesu kristo/bwana asifiwe. Miaka 6 iliyopita nilikuwa nikiishi ugaibuni kula London, nikiwa kule nilibahatika kwenda safari za Netherland na Ubeligiji.sehemu zote hizo nimeshudia wimbi la vijana wakioa mama watu wazima bila aibu,binafsi ilipa taabu sana kichwani mwangu. Lakini sasa nimerudi hapa kwetu bongo nimekuta mtindo huu umeshamiri japo kwa style nyingine ambabo ni vijana wengi wanawekwa ndani kama wafanya kazi kumbe ndo viburudisho na wengine wanasaliti ndoa zao kwa kuzama kwenye mahaba ya watu wazima.Je, sasa nauliza sababu hasa ni nini? kuporomoka kwa maadili,mapenzi tu, ilikuwepo tangu enzi hizo au ndo mama wanajua mapenzi kuliko mabinti wa siku hizi?
apochachaaaaa!!!!!!!!!!
wanapenda vya dezo wakaka wa siku izi
wanataka wakimaliza tu chuo awe na gar fasta ,mavaz poa,awe anakula bata daily ,apange apartment...sasa gharama izi ataziweza kweli?
matokeo yake wakikutana na mikurumbembe uko basi atajichekesha mpk mmmama ataingia line ili ahudumiwe
kuna mtaa mmoja apa mjin ukienda atakuta kuna wakaka wenyewe fulll mapouda ....yaan km mastrpa vile kaz zao ni kujitongozesha kwa wadada/wamama wenye pesa..wao wapo kikaz zaid...
na hii yote utokana na ;
1.maadili kupungua
2.watu kutojali utu..wanajali zaidi pesa na starehe zao
3.malez mabaya ya watoto
4 utandawaz ..ahhh wanaona poa tu mbona ughaibun wanafanya...movies izi znadanganya pia
5.family problems
6.kuvunjika kwa ndoa ..so kila mtu anatafuta kiburudisho chake matokeo yake unaopt uburudishwe na kijana wa 25yrs wakat mam ana 53yrs
7.tamaa ya kuwa na maisha mazuri
8.wengine wanapenda tu vjana kwa madai ya damu changa kaz wanaiweza (kitu ambacho nakipinga mpk kaburin cz kuna vjana wadogo tu 25-30 may b lakin shughuli yao mbooovu awana tofaut na wababu wenye kisukari...)
NAENDA KUPASHA KIPORO ..wali naz kisamvu naz na maharage km vp karibuni .....mnaogopa kuota vtamb...?aya bana byee
Too funny...ukweli ni kwamba wamama wanapenda misumari ya vijana,tena vijana wanaojituma kisawasawa.... me pi nimeshawaclick zaidi ya wanne nma mmoja wao tunafanya naye kazi pamoja ktk taasisi yetu. kingine ni kwamba wamama watu wazima hasa wale ambao ni updates wanavutia sana kuwapiga mashine coz wengi wao walishapoteza ujana wao so haina mambo ya kuchagua face or shape nk. wadada vijana mpaka awe mzuri,mrefu ana shape ndo uanze kumtokea its a wastage of time............ na pia ukitaka kupata wadada wazuri wakuone au wajue unapiga mamaza basi hapo na wenyewe wenajileta kiulaini sana!!!!!!!!!!!!!! hamna mambo ya fedha wala nini vijana wenzangu,tongozeni wamama afu pigeni kiukweli muone wadada wanavyopata wivu and then na wenyewe wanakuja baadae. me ninae mmoja,napigiaga kwangu au kwake,sometimes gesti yani poa tu. wadada pasua kichwa sana acha na wenyewe wapigwe na wababa..........
vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi
Njaa kaka wamama wengine wako vizuri so vijana wanahamia kula maisha
Too funny...
Ni kweli,kumbuka pia mtu mzima anaweza 'kukurembea' ile mbaya kutokana na experience yake.Na pia huenda Hawa watu wazima ndio wanaowarubuni Hawa vijana..na umahiri wa ngono haupimwi kwa umri..

Umeua mkuu... Ngoja niko araundi hivi