Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

Rose huyo sharobaro uliyekutana nae akakutoa hamu usimrudie tena maana duh unavyowaongelea vijana as if wote wameoza au ni vijana wa valuer na onyagi wakati wengine hawatumiii hayo mambo na wako fit mbaya
Acha kukutana na wauza sura bana kutana na real kijana asiyejua burger ni nini wala chips mayai

hahah hahahaaa... sawa bab ntamwacha sharobaro wangu ntahamia kwako vp nafas ipo?

unajishtukia kaka ..sKUMANISHA WAKAKA WOTE...kwan mto mada aliposema wamama wanapenda kutembea na vijana wote alimaanisha WAMAMA WOOOTE?

automaticallyy alikua anamaanisha WALE WENYE SWAGA IZO ..

Rose njoo unitunze na mimi!

kama mtu unaridhika kulala na mmama/mbaba anaelingana/kumzidi mama/baba yako ni heri ukaanza na wako, koz laana iko palepale.

vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.

Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi

Inaonekana vijana tuna matatizo sana!

hahah hahahaaa... sawa bab ntamwacha sharobaro wangu ntahamia kwako vp nafas ipo?

unajishtukia kaka ..sKUMANISHA WAKAKA WOTE...kwan mto mada aliposema wamama wanapenda kutembea na vijana wote alimaanisha WAMAMA WOOOTE?

automaticallyy alikua anamaanisha WALE WENYE SWAGA IZO ..

Ila umewashambulia sana Rose mpaka tunahisi ulikutana na wawili watatu wa aina hiyo na wakakutoa hamu
Sio wote bana wapo ambao hawahitaji hizo valuer na konyagi wala supu ya pweza ila wako real na hao sasa wakiwapata wamama wanawasahau waume zao na kuhamia kwa vijana wadogo

Msiwalaumu mijimama au viserengeti, wamama wameona waume zao wanatoka na visichana nao wakaona wabalance equation. Tatizo watu inawauma coz hawa wamama ni MAMA yake m2 na mnajua mama anavyoheshimiwa dats why m2 hakubali atukaniwe mama yake ndo maana jibaba+kidemu=yes bt jimama+boy=dhambi aka sijui maadili mabovu. Hakuna ki2 kama hko, me mwenyewe nimepiga moja, kwanza hata kama halijakutongoza ukili2pia maneno linakujibu kiustaarabu wala hamsumbuani. Hv vidada miezi utadhani unasomea cheti.

Kwanza wengi wa hao wamama tumeshanganyikiwa na maisha, ndoa shida, watoto wameshakuwa ndo shida zaidi, unakuta mama anaamua tu apate handsome boy wa kumpumzisha and not more.

Kwanza wengi wa hao wamama tumeshanganyikiwa na maisha, ndoa shida, watoto wameshakuwa ndo shida zaidi, unakuta mama anaamua tu apate handsome boy wa kumpumzisha and not more.
kumbe wewe ni mama jamani siamini macho yangu

sasa kwa nini wasiufanye umaridadi huo na vijana wenzio? Huko kwa mamazao kuna nini?

KIKUBWA NI FEDHA ILA PIA MASISTA DU NAO WAMEZIDI MARINGO NA NYODO MPAKA UMPATE UKIMTONGOZA LEO KUMPATA MWAKANI, MAJIMAMA POA TU UNAKULA MZIGO WA HAJA -PESA IPO NA NO-USUMBUFU AT ALL , HUONI MA-ADVANTAGES HAYA YOTE. Upo wap ww man?

"THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"

Nilidhani ni kitu cha ajabu sana maana watoto wadogo wanaguts za kutongoza dada zao, hadi aibu yaani balaa tu kumbe mama zetu ndo wanawapa hayo macourage?! Kuna kimoja kilikomaa na mm wee nikakiuliza umepata wapi gutz maana kwanza ndo anatarajia kuanza chuo ss kina raba kubwa sijui za ulimi nje moja, kijeans ........., haaa me nakupenda sana, baada kama ya mwezi nikaacha kumjibu sms zake but nikamwambia kwangu shs kumi hupati zaidi ya juisi kama wageni wengine! kakaja siku moja na chupa ya wine was like c'moon umeiba wapi hela ?? hahaa haya ni malovee tu nikambembeleza refund kakajifanya noop, zikaanza zile sms za ussiku za kiteeneger yaani.....!ila whenever bf akibore hapokei simu chenyewe kiko busy nami kidogo nigive in nikatafuta nguvu nikakpotezea!

Nadhani sababu za kina mama kupenda vijana wadogo and vice versa ni sababu zile zile za kina baba kupenda visichana vidogo.
Basi tu zamani kina mama hawakuwa na uwezo wa kuzimudu nyumba ndogo zao.
Vile vile maisha magumu kwa vijana wa kiume pia, na wao ndio wamepata sasa pa kwenda.

Ndio equal opportunity na equal rights zenyewe hizo.

Sikubaliani na any kind of nyumba ndogo by the way. But ni sawa tu kwa watu wawili kupendana kwa dhati kama wote ni single regardless of age difference.

waacheni wamama wa watu as u know ni ngumu mwanamke kumtongoza mwanaume so hadi mwanamke amtongoze mwanaume ujue amejisacrifice sasa aende tena kwa vimeo? akagharimie na mabooster tena? so lazima afanye selection ya nguvu

hii issue ya mabooster mmeishikia bango sana acheni zenu bana
Sio wote watumiaji wahayo mambo wako watu ngangari sana ambao wako real bila hizo vitu na ndio wanapapatikiw ana wamama

Back
Top Bottom