Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kea roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Mioyo ya vibonge imezungukwa na nyama haipigwi na baridi.Hivyo wanakuwa na utulivu,maamuzi ya polepole na uhakika.Ni kinyume na wembamba.Nimejibu kwa utani Ila ndiyo hivyo.🤔
 
Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kwa roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Ukioa mwanamke bonge ukiliambia kitu linakusikia, kwenye mabishano ukilishtua "weeeeeh" linatulia. Sasa hivi vinjiti hivi ndio balaa
Kabisa mkuu,
vimbaumbau wabishi mno
Nnachofanya kimoja uko temeke, Ni kisumbufu na pasua kichwa balaa
 
Back
Top Bottom