Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,106
- 111,751
Kuwa na roho nzuri utanenepa, sijamaanisha wakondefu wana roho mbayaNa mimi nataka kua kibongee!
Kuwa na roho nzuri utanenepa, sijamaanisha wakondefu wana roho mbayaNa mimi nataka kua kibongee!
Ukiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊Na mimi nataka kua kibongee!
Nina kg 73 nataka nifike 100Ukiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊
Mkuu wewe ni Ke?Nina kg 73 nataka nifike 100
Ndiyo😂Mkuu wewe ni Ke?
Soon nafika 100kgUkiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊
Mama yupi mkuu?mama pia ni KIBONGE
Ni-pm nina zawadi yako. Vibonge mna nafasi ya pekee kwenye ufalme wangu 😊😊Soon nafika 100kg
roho nzuri ni hulka, hata wembamba wanayo
mabonge hawavutii shepu lote limefunikwa na mafuta
sipendi kabisa kua mnafki kwenye hili




Basi siku zote najua wewe ni Me!!Ndiyo😂
Mama anaeupiga mwingi huko TanzaniaMama yupi mkuu?
acha hizo, tunza afya yakoNina kg 73 nataka nifike 100
Ndio kazi niliyobakisha hapa duniani mkuu🤣🤣Mzee unawaza chini ya kitovu tu...
Sio mbaya😂Basi siku zote najua wewe ni Me!!
Sipendi unene, ila nina asili ya unene..acha hizo, tunza afya yako
usisikilize hawa mafataki![]()

jitahidi,Sipendi unene, ila nina asili ya unene..
Ninapingana nao Kila siku..
Unene na mavazi haviendani..
Napenda kudamsh...![]()