Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
Mjibu sasaKuna mtu anauliza, huyo kwenye avatar ni wewe? 😎😎
Mjibu sasaKuna mtu anauliza, huyo kwenye avatar ni wewe? 😎😎
Utakua kibonge nini madamKiutamaduni wa Kitazania, mtu "kibonge" maana yake anashiba vizuri.
Vipi tena utegemee mambo ya watu wenye njaa kutokea kwa mtu aliyeshiba?

AlhamduliLlah nnashiba.Utakua kibonge nini madam![]()
Unashiba au unakula kwa ulafi madam🤣🤣AlhamduliLlah nnashiba.
Waislam tuna mafundisho mpaka ya kipimo cha chakula, hilo wala siyo suala kwa Muislam:Unashiba au unakula kwa ulafi madam🤣🤣
Nimekupata madam 💯Waislam tuna mafundisho mpaka ya kipimo cha chakula, hilo wala siyo suala kwa Muislam:
Kula, siyo zaidi ya nusu tumbo, robo tumbo kunywa maji na robo iliyobaki ya hewa. Na ukishakula inabidi usinzie japo dakika 20 mpaka nusu saa inaitwa "kailula".
Ukiamka hapo kajambe mashuzi yako, kachukuwe udghu kama haujasali, sali, ukafanye shughuli zako.
Upo hapo ulipo kijana?
AmenMungu awabariki wanawake vibonge wote.
Wacheni uzinzi na uasherati, oaneni muijaze dunia kihalali, siyo kujaza mitoto isiyo na baba anaejulikana kila kona.Kipengele ni kwenye mademu vibonge wao hupenda kweli, usi-date nao kama ni mtu wakupita maana huwa wanafall in love mazima🤣
kibonge huyo😂Alaaa kumbe 😎😎
Teh TehAcha kujisifia....... deepPond nakujua wewe ni mfupi mweusi unakitambi kikubwa yani uko kama kimtungi cha gesi 😂😂 jokes