Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kwa roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Vibonge wansmile vizur yana mda mwingi wanafuraha tu, Hivi vipenseli unaeza kuta hata kakaa mwenyewe ila kavuta kamdomo chiriku
 
Roho inayoelea kwenye mafuta itakuwaje mbaya?
 
Watu wembamba moyo unakuwa unajigonga kwenye mifupa ya kifua ndiyo maana roho zao zimejaa chuki na visirani.
 
Sahii kabisa faiza, hawana chuki
Hata Kwa waislam ukikuta wale wamefanywa makazi ya majini(mapepo)mfn faiza mbweha,mange kimambi,Mzazi mwenzake na sugu wengi wanakuwa ni wembamba,Ila wale wamama wanene hata avae baibui msambwanda ,tumbo la biriani,na kifua cha haja vinaonekana huwa Wana roho nzuri Sana..Cha kushangaa hata majini yanawaogopa
 
Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kwa roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Kwahiyo vibonge wakikonda wanakuwa na roho mbaya!?
 
Back
Top Bottom