Mussa werema
Senior Member
- Apr 5, 2023
- 177
- 195
Ww unatoa matangazo ama vip
Vibonge na kuuza vitumbua ni dam damKuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,
Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)
Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE
2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE
3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE
4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)
5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love
6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.
7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.
8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf
9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE
10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.
Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu
Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kea roho mbaya DUNIANI?
Nawasilisha![]()
Umesema?????Halafu ni watamu sana!
Mhh Mhhh fafanua kidogo.8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf
Humjui yule shangazi kibonge wa Mbezi Luis wewe 😂9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE
Hujui kufungua code?Mhh Mhhh fafanua kidogo.
Hana baya na mtu sio?Mama anaeupiga mwingi huko Tanzania
Nina kg 73 nataka nifike 100
Ndo kwanza nina 20's, sina mtotoUmeshapata mtoto/watoto?
Kama bado, ukianza uzazi jiachi kwa mivyakula mwili utakuja hadi uukimbie...
Ni mwendo wa kulamba asali tuHana baya na mtu sio?
Ndo kwanza nina 22, sina mtoto
Sawa mkuuUkianza kufanya matusi na kupata mtoto, kula sana na baada ya uzazi pia gonga sana misosi...utajipata kama Shilole hivi
Narudia, vibonge watamu balaa.Umesema?????
Kuna siku tukakwaruzana, kumbe ni Ke...?Sio mbaya😂
Ulinioneaa tu😂Kuna siku tukakwaruzana, kumbe ni Ke...?
Kumbe binti kigori kabisa mkuu! Nisamehe sana, sikwaruzani na Ke hata siku moja🤣Ulinioneaa tu😂