Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
 
Ila nyie majamaa wa humu bhana mnanifurahisha, mnajua kabisa huyo mpuuzi anayejiita T - kipini hana akili timamu then ety anawaumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom