Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 620
- 716
Endelea kupagawa tu🤣hatimae wametoa sasa mngekufa 😆 😆
Endelea kupagawa tu🤣hatimae wametoa sasa mngekufa 😆 😆
jamaa anafanya tuingie web bila kupenda.Endelea kupagawa tu🤣
Yaniiiijamaa anafanya tuingie web bila kupenda.
Daah pole mkuu,Mungu ni mwema usichokePdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?jamaa anafanya tuingie web bila kupenda.
Huwa nakuona sana katika thread hii ukiichangia una taaluma gani?Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?
Marketing & Public relationsHuwa nakuona sana katika thread hii ukiichangia una taaluma gani?
Yah Kwa mwez pdf 6Limebaki pdf moja tu likitoka hilo ndio hadi mwezi wa sita..
Never give up mkuu Mungu atatenda tuPdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Duh pole kada ngumu kidogo ila usikate tamaaMarketing & Public relations
mie mwenyewe nashangaa.Ila nyie majamaa wa humu bhana mnanifurahisha, mnajua kabisa huyo mpuuzi anayejiita T - kipini hana akili timamu then ety anawaumiza kichwa.
Na hilo pdf lililobaki nahisi IT atakumbuka kada yake sasa.Yah Kwa mwez pdf 6
pole wamekupiga sugulukunyoPdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
pole wamekupiga sugulukunyo.Pdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Cjui kwann hua siamini databasesi kuna dataabase.you never know
Sawapole wamekupiga sugulukunyo.