HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Daaah kuna waliofanya usahili kuanzia tar 20/3 na pia kimya.. sijui kwanini wanaishiaga 19/3 mwezi wa nne waligusia pdf moja tuuu.. sheeeenziii
Nimeona db admin wawil kutoka kwenye database..walipiga oral ya self MF
 
Back
Top Bottom