Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

utumishi bana yaani mie nimesoma udereva nina cheti na leseni ninayo ila siwezi apply nashuhudia masuka wenzangu wanavyomiminiwa asali mbichi.. 🤣 🤣
Pole badirisha vyeti kwenye portal mkuu weka vya udereva kapige usahili ukitoboa ukaingia kwenye system baadae unabadirisha fani juu kwa juu huku ukilamba asali madereva ni ma last born wa utumishi wa umma
 
Naona Sasa ni mwendo wa at least 3.8 GPA out of 5.0😅😅
Wale wa gentleman GPA mapumziko kidogo.
Karibuni tuongeze received hata Kama hatuna hobi ya kufundisha.
Afu Tutorial Assistant 1 post.
 
Back
Top Bottom