El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 1,376
- 3,192
biloko 👍👍Subirii
biloko 👍👍Subirii
Ndiohivi ile ni database
Haya naweka deputy secretary. Wakati nilikuwa nae kwenye usaili wa port operation officerHakunaga position inayoitwa makam katibu, rekebisha kauli. Inaonekana unaongea kitu cha kusimuliwa
FactMkuu kuna sehemu nimesema anachukuliwa mwenye alama ndogo na mwenye alama kubwa anaachwa?
Jitajihidi kuelewa hoja yangu, nasema kuwa sio kila anaetoja database alifanya vibaya, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi wengi wao wanakuwa walifaulu vizuri sana ila kutokana na maandalizi ya Taasisi kuwa yanachukua muda mrefu hupelekea kuwekwa pending ila kazi washapata
Nyie mkiona mtu anatokea Database mnadhani wote hawakufanya vizuri ila kumbe wengi wao ni waliofanya vizuri ila kuliko placement yake itoke mwezi wa 1 alafu kazini aende kuanza mwezi 4 wanaona wamuweke Kwanza benchi kusubiri mchakato ukamilike
Nimetolea mfano wafanyakazi wapya Halmashauri wanakaa hadi zaidi ya Mwaka/miaka ata Hela zao za kujikimu hawapewi, ila kwa Taasisi waga ni tofauti, kuna budget ya hela za kujikimu,na wengine Makazi na usafiri bila kusahau mishahara yao
Acheni kuishi Kwa kukariri kuwa wanaotoka kwenye placement wa Kwanza ndio waliofanya vizuri kwenye Oral kuliko watakaokaa database, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi kubwa wanakuwa walifanya vizuri ila wakasubirishwa Tu
Hv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?Wamechomoa data base watatu wakaenda kuvagaa bwawa la asali mamlaka ya viwanja vya ndege TAA na mwingine Li Halmashauri la Kakonko
Raia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.Hv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?
kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda databaseRaia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.
1. Kama mlifanya wote oral halafu hakuitwa kwenye placement ya kwanza, akaja kuitwa placement nyingine na hakufanya oral ya mwajiri huyo, hapo basi tutajua ni kutoka database.
2. Muhusika mwenyewe kubainisha kuwa katoka database.
Kwahy inamaana kuwa hakuna ishara yoyote ya wazi inayoonyesha kuwa hawa ni kutoka database.?Raia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.
1. Kama mlifanya wote oral halafu hakuitwa kwenye placement ya kwanza, akaja kuitwa placement nyingine na hakufanya oral ya mwajiri huyo, hapo basi tutajua ni kutoka database.
2. Muhusika mwenyewe kubainisha kuwa katoka database.
Ndio hivyo database kama umefaulu ukakosa nafasi utapangiwa Taasisi yeyote nafasi ikipatikana sio lazma uliyofanya usaili.kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda database
ufafanuzi please
Hamna ishara. ila ukishaweza kuingia oral uaweza kujua database au direct kwa urahisi.Kwahy inamaana kuwa hakuna ishara yoyote ya wazi inayoonyesha kuwa hawa ni kutoka database.?
PDF ad kesho jionIT mi nataka kuzima data..
Kila baada ya dakika kadhaa mtu unajikuTa umepitia kwenye site yao...PDF ad kesho jion
tumekua ma IT wasaidizi.. 🤣 🤣Kila baada ya dakika kadhaa mtu unajikuTa umepitia kwenye site yao...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ni shida mkuutumekua ma IT wasaidizi.. 🤣 🤣
hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ni shida mkuu