Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu kuna sehemu nimesema anachukuliwa mwenye alama ndogo na mwenye alama kubwa anaachwa?

Jitajihidi kuelewa hoja yangu, nasema kuwa sio kila anaetoja database alifanya vibaya, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi wengi wao wanakuwa walifaulu vizuri sana ila kutokana na maandalizi ya Taasisi kuwa yanachukua muda mrefu hupelekea kuwekwa pending ila kazi washapata

Nyie mkiona mtu anatokea Database mnadhani wote hawakufanya vizuri ila kumbe wengi wao ni waliofanya vizuri ila kuliko placement yake itoke mwezi wa 1 alafu kazini aende kuanza mwezi 4 wanaona wamuweke Kwanza benchi kusubiri mchakato ukamilike

Nimetolea mfano wafanyakazi wapya Halmashauri wanakaa hadi zaidi ya Mwaka/miaka ata Hela zao za kujikimu hawapewi, ila kwa Taasisi waga ni tofauti, kuna budget ya hela za kujikimu,na wengine Makazi na usafiri bila kusahau mishahara yao

Acheni kuishi Kwa kukariri kuwa wanaotoka kwenye placement wa Kwanza ndio waliofanya vizuri kwenye Oral kuliko watakaokaa database, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi kubwa wanakuwa walifanya vizuri ila wakasubirishwa Tu
Fact
 
Hv unajuaje kuwa hawa kadhaa ni kutoka database na mhusika atajuaje kuwa buyu la asali limemfikia.?
Raia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.

1. Kama mlifanya wote oral halafu hakuitwa kwenye placement ya kwanza, akaja kuitwa placement nyingine na hakufanya oral ya mwajiri huyo, hapo basi tutajua ni kutoka database.

2. Muhusika mwenyewe kubainisha kuwa katoka database.
 
kwa hyo mkuu Mwifwa unaweza kufanya usahili wa taasisi fulani lakini database ukaitwa taasisi nyingine kwa kada hiyo hiyo? au lazma taasisi hyo hyo itoe ihitaji mtu ndio wanaenda database

ufafanuzi please
 
Raia wengine tofauti na wazee wa Flash, tunawatambua watu kutoka database kwa namna mbili.

1. Kama mlifanya wote oral halafu hakuitwa kwenye placement ya kwanza, akaja kuitwa placement nyingine na hakufanya oral ya mwajiri huyo, hapo basi tutajua ni kutoka database.

2. Muhusika mwenyewe kubainisha kuwa katoka database.
Kwahy inamaana kuwa hakuna ishara yoyote ya wazi inayoonyesha kuwa hawa ni kutoka database.?
 
Back
Top Bottom