stive jay
Member
- Jun 17, 2019
- 46
- 51
Haaaah!!! Reality kabisaWengi wao wanakua na too much expectations.
Then wakija kwa street wanakuta mambo are so quite differents.
Sasa hasira zote ndio zinaishia humu kwenye thread.
Haaaah!!! Reality kabisaWengi wao wanakua na too much expectations.
Then wakija kwa street wanakuta mambo are so quite differents.
Sasa hasira zote ndio zinaishia humu kwenye thread.
halafu Mashirika matamu matamu tu!! I love TanzaniaNaomba nikuulize kwanini TRA ,BOT,NHIF Pekee ndo yamejitoa je mashirika mengine yapo mbioni kujitoa psrs?
Ni kweli kabisa, sasa sijui matarajio makubwa wanayatoa wapi wakati wanaona kaka zao tupo kitaa toka 2015😄Wengi wao wanakua na too much expectations.
Then wakija kwa street wanakuta mambo are so quite differents.
Sasa hasira zote ndio zinaishia humu kwenye thread.
IT mida yake inakuwaga jioni jioni hiviutumishi hili bando likiisha hamjatoa mkeka mtanichangia hela ya bando.
ngoja tusikilizieIT mida yake inakuwaga jioni jioni hivi
AminaDear Lord.
Kama ikukupendeza na mimi nikumbuke mwaka 2024 .
Kama sio ile oral ya mwaka jana basi hata Receive ijayo.
Mapenzi yako yatimizwe.
Amen
MkuuMkuu upo simiyu nini
Ni changamoto sanaAhaaa itakuwa uvinza ndani ndani kwenda kalyaa
Kabisa,siku zisogee tu.Hapana mkuu, Mimi nipo Uswekweni huku bora ningekuwa Wanging'ombe.
Halmashauri tupo kusukuma siku ziende.
Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.Mwenetu wapi Buhigwe nini.
Ofisini unakutana na kiti cha mbao mguu mmoja mfupi.
Ofisini hapo nje zimepaki baiskeli na pikipiki za Watumishi.
Hapo hajaombwa matumizi kidogo kwa wazazi wa mke na wake. Kama ana mtoto anasoma ndio kabisaa.Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
Buhigwe saa hivi pako vizurii ndio kwa Makamu wa raisKatika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.
Kesho tarehe 20 kina boda boda anamalizia hela ya godoro (gesi alishalipa yote) then nasepa.Rudi mkuu tulime nanasi achana huko
Niko njiani Mkuu,nakuja.Njoo mkuu achana huko
Niko njiani Mkuu,nakujaAchana na hiyo kaz mkuu njoo tupige mishe mishe