Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwenetu wapi Buhigwe nini.

Ofisini unakutana na kiti cha mbao mguu mmoja mfupi.

Ofisini hapo nje zimepaki baiskeli na pikipiki za Watumishi.
Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.
 
Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
Hapo hajaombwa matumizi kidogo kwa wazazi wa mke na wake. Kama ana mtoto anasoma ndio kabisaa.
 
Back
Top Bottom