Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Placement za sahili zikitoka faster inasaidia mtu kujua anajipanga vipi , sasa unakuta wako slow kichizi , kazi ya nafasi 30 wanachukua zaidi ya miezi mitano kutoa Placement , hii haifai .
Waliangalie hili

Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
 
Yah ! , Unakuwa unakosa hata nguvu ya kuhudhuria au kujipanga na sahili nyingine au kujua kipi ni kipi aisee .
 
Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
Mzee hii ni issue sensitive sana sio ajira za mkataba.

Siku utakapomaliza oral unatengenezwa mkeka wa oral wa kwanza na wa mwisho majina yanarudi kwao utumishi .

Wanaangalia wanahitaji watu wangapi wanaselected na kuwaandalia barua wakimaliza hapo lazima wawasiliane na taasisi iliyotangaza ajira na lazima karibu asaini majina na barua zoezi hilo nadhani hadi miezi miwili mitatu kuchukua.

So shida Sio kufanya interview shida mchakato
 
Ndio , halafu wamesepa na kijiji kama mara tatu hivi tangia huu mwaka uanze kwa watu wa civil .
 
Back
Top Bottom