Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,195
- 5,486
Ngoja niwatag kabisa Sekretarieti ya Ajira ,toeni Placement zote za fani za Electrical and mechanical engineering za sahili za MDA and LGA zilizofanyika mwezi wa sita 2023 .
Mbona sahili nyingine mnatoa faster majina ? , Tena kwa kasi kubwa ,kila pdf .Sasa huku mnatoa jina moja kila baada ya pdf tano ndio nini sasa ?
Mbona sahili nyingine mnatoa faster majina ? , Tena kwa kasi kubwa ,kila pdf .Sasa huku mnatoa jina moja kila baada ya pdf tano ndio nini sasa ?