Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi nilisharamba hadi nikastaafu!! Niko hapa kwa ajili ya kuwatia moyo na kuunga mkono jitihada za vijana wanaopambania ajira! Lakini pia nina vijana wangu wako kwenye mapambano haya. Wawili walisharamba asali, wawili bado.
Hongera sana kwao mkuu..
 
Back
Top Bottom