Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Huenda Upo database mkuu usiumie sanaMimi ilikuwa hivyo na sikupata Selected for Null but in pdf not listed my name..... Its so Sad and painful
Huenda Upo database mkuu usiumie sanaMimi ilikuwa hivyo na sikupata Selected for Null but in pdf not listed my name..... Its so Sad and painful
Selcted for oralkwa wale waliokuwa na practical kwenye usaili. status zenu kweny app zipoje ?
ni mwendo wa kuwasagia kunguni tuu ,utumishiJF wameamua kuupeleka uzi to extra miles, wameupost kwenye Channel ya Telegram, nina imani watakuwa wamepost pia kwenye mitandao mingine.View attachment 2512609
ni mwendo wa kuwasagia kunguni tuu ,utumish🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣IT wa PSRS namkubali sana na izi mind games.
vijana mada imepamba moto ya status, uko IT naye akaona ngoja ni nikadilishe tena status, na sitashangaa kama IT wenye selected for null akawapa "" not selected for null"" ili akili ziwakae sawa halafu akarudisha "" selected for null"" baada ya mda🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nina placement 2 nasubiria majibu..zile nlizokosa japo nlipita oral nimeandikiwa selected for oral interview kwenye webMimi naona selected for null ni danger zaidi ogopa sana
Big point mkuu. Ila tatizo hakuna kitu kigumu ku control kama emotion kwa baadhi yetu.Mimi nadhani, kwa watu ambao wamefanya usaili wa mazungumzo yaani oral interview suala la subira na ukomavu wa akili hasa kusubiria majibu inatakiwa sana maana apangae maisha ni mwenyezi Mungu unaweza ukadhamiria sana kazi kwa kuhusisha muonekano wa status majibu yakatoka ukapata matatizo kiafya hivyo ni bora kuwa na moyo wa subira wakati ICT wa psrs akifanya yake
AiseeMimi nina placement 2 nasubiria majibu..zile nlizokosa japo nlipita oral nimeandikiwa selected for oral interview kwenye web
kwenye app zinasomaje afsa?Mimi nina placement 2 nasubiria majibu..zile nlizokosa japo nlipita oral nimeandikiwa selected for oral interview kwenye web
ndo umeitwa ukafanye iyo practical, best wishesYangu moja ipo selected for Practical interview, hiipia imechange Leo japo siku kama mbili HIV ilikuwa hv
Nyingine ipo selected for Oral interview. Hii pia imechange Toka selected for null
Mwaka huu kazi ipoa Huuuuuuuuuuuuuiwii [emoji23][emoji23]
Kwenye App lakini hizi status zote hizo.
anakuwa kama Tanesco[emoji23]IT wa PSRS namkubali sana na izi mind games.
vijana mada imepamba moto ya status, uko IT naye akaona ngoja ni nikadilishe tena status, na sitashangaa kama IT wenye selected for null akawapa "" not selected for null"" ili akili ziwakae sawa halafu akarudisha "" selected for null"" baada ya mda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣anakuwa kama Tanesco[emoji23]
Likifika VIRAL huenda tume ya Ajira na utumishi kwa Umma wakarekebisha suala la kuchelewesha sana kuita watu kazini ili kudumisha amani mioyoni mwa ma-jobseekerJF wameamua kuupeleka uzi to extra miles, wameupost kwenye Channel ya Telegram, nina imani watakuwa wamepost pia kwenye mitandao mingine.View attachment 2512609