HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio guarantee kuwa ukiandikiwa selected for null (green label) kuwa lazima umepata kazi watu wapo wameandikiwa hivo na hawakupata kazi, nafasi zile za airport security officer II ninao ushahidi watu walijiandaa kabisa kwenda Dodoma na kujipa moyo lakini PDF imetoka,,, Hollaaaah!! 😭
Unaweza kuwa ulifaulu usaili ila haukupangiwa kituo cha kazi kwa vile ushindani ulikuwa mkubwa..wengi walifaulu kuzidi wewe...hivyo ukaingia kwenye database. Hii haiondoi hoja kuwa ulifaulu usaili husika.

mfano waite watu 80 kwenye oral na nafsi ni 30. ila wakafaulu usaili wa mahojiano watu 70..hapo watu 40 lazima waingie database even though walifaulu usaili.

Na unaweza kukaa database na kazi ya kada yako ikakosekana...hadi muda wako wa kukaa huko kwenye kanzidata kuisha. Na wewe ukahitimisha kuwa ulifeli usaili ule..kumbe ulifaulu ila tu ushindani ulikuwa mkali.
 
IT wa PSRS namkubali sana na izi mind games.
vijana mada imepamba moto ya status, uko IT naye akaona ngoja ni nikadilishe tena status, na sitashangaa kama IT wenye selected for null akawapa "" not selected for null"" ili akili ziwakae sawa halafu akarudisha "" selected for null"" baada ya mda🤣🤣🤣🤣🤣
 
IT wa PSRS namkubali sana na izi mind games.
vijana mada imepamba moto ya status, uko IT naye akaona ngoja ni nikadilishe tena status, na sitashangaa kama IT wenye selected for null akawapa "" not selected for null"" ili akili ziwakae sawa halafu akarudisha "" selected for null"" baada ya mda🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nadhani, kwa watu ambao wamefanya usaili wa mazungumzo yaani oral interview suala la subira na ukomavu wa akili hasa kusubiria majibu linatakiwa sana maana apangae maisha ni mwenyezi Mungu unaweza ukadhamiria sana kazi kwa kuhusisha muonekano wa status majibu yakatoka ukapata matatizo kiafya hivyo ni bora kuwa na moyo wa subira wakati ICT wa psrs akifanya yake
 
Yangu moja ipo selected for Practical interview, hiipia imechange Leo japo siku kama mbili HIV ilikuwa hv

Nyingine ipo selected for Oral interview. Hii pia imechange Toka selected for null
Mwaka huu kazi ipoa Huuuuuuuuuuuuuiwii 😂😂
Kwenye App lakini hizi status zote hizo.
 
JF wameamua kuupeleka uzi to extra miles, wameupost kwenye Channel ya Telegram, nina imani watakuwa wamepost pia kwenye mitandao mingine.
Screenshot_20230210-143903.jpg
 
Back
Top Bottom