mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
kitaa hali ni mbaya sana luteniKwa hali ilivyo kwa jobless wengi wanaosubiri placements. Inabidi team ya uokoaji na msalaba mwekundu wakae karibu na vijana wanaweza kujitundika wakitoswa kwenye mkeka wa psrs