meIsco
Member
- Sep 24, 2022
- 61
- 174
Kwa mahesabu ya haraka haraka wiki ya 3 tokea tarehe 17 sio kesho . Ila ni wiki lote kwaanzia Leo mpka jumanne ya wik lijaloWeek ya tatu si ndo kesho [emoji3] kwahyo kesho kuna mkeka mrefu
Kwa mahesabu ya haraka haraka wiki ya 3 tokea tarehe 17 sio kesho . Ila ni wiki lote kwaanzia Leo mpka jumanne ya wik lijaloWeek ya tatu si ndo kesho [emoji3] kwahyo kesho kuna mkeka mrefu
Wale wa TRA pateni a,b,c,d zenu hapo
Kuna Moja ilikuwa selected for null lakini leo hakuna chochote sehemu ya status.Mkuu, Mimi saili yangu nilofanya November imebadilika huko kwenye APP Sasa imeandika "SELECTED FOR practical interview Hali ya kuwa Wala sikufanya hyo Practical interview 😂😂
Hiyo ni yako au..? Na je, ulifanya Oral pekee(yaani ulianzia oral tu?)Kuna Moja ilikuwa selected for null lakini leo hakuna chochote sehemu ya status.
Mkuu uko sawa , ila yule jamaa wa utumishi alitwambia kwa tarehe ile tuliofanya ~ ila acha tuvute subra. Tareh 17 to today ni week tatu kamil ~ Allah atatuwezeshapsrs walimaliza kuendesha zoezi la oral kwa kada za TRA tarehe 17 january. Natumaini hizo wiki tatu zitakuwa zinahesabiwa kutokea tarehe ya mwisho ya usaili walipomalizia.
Pia Mkuu TRA kwa miaka yote ya nyuma ukiangalia wanajitahid sana kuwahi kuwaita watu kazini ndani ya wiki 3 baada ya tarehe ya mwisho ya oral.
Kwasababu wiki 3 hazijaisha Mkuu vuta subira, mambo yanaenda kuwa sawa.
Wiki tatu baada ya interview za oral kuisha... ziliisha tarehe 17Tulifanya oral tarehe ilikua j1 , akasema wiki tatu kuanzia j3 ambayo tareh 9 . . Acha nivute subra ila wiki 3 tayar Boss
Me naona kama wakati mwingine ni kujipa stress za bure tu,ukisha kufanya oral we potezea fanya issues zingine ,majibu yatakavyokuja utayapokea kama yalivyo,ila sasa ukianza kuhesabu siku za matokeo kutoka unakuta halafu bahati mbaya yakaja vibaya, unaweza kuwachukia utumishi bure uhisi hawajakutendea haki.Mkuu uko sawa , ila yule jamaa wa utumishi alitwambia kwa tarehe ile tuliofanya ~ ila acha tuvute subra. Tareh 17 to today ni week tatu kamil ~ Allah atatuwezesha
ulifanya practical kwenye huo usaili ?
unapaswa ukafanye pracHapana sikufanya.
Post yangu ilikuwa Loan Officer Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Na placement zimeshatoka.unapaswa ukafanye prac
😂😂😂😂unapaswa ukafanye prac
Kwa kua ww walamba asal tayar eehMe naona kama wakati mwingine ni kujipa stress za bure tu,ukisha kufanya oral we potezea fanya issues zingine ,majibu yatakavyokuja utayapokea kama yalivyo,ila sasa ukianza kuhesabu siku za matokeo kutoka unakuta halafu bahati mbaya yakaja vibaya, unaweza kuwachukia utumishi bure uhisi hawajakutendea haki.
Huo ni mtazamo wangu tu bossKwa kua ww walamba asal tayar eeh
1 nyongezaKo TRA wanaajiri 500 tu sio ?
Mbona jumla ya post ni 501
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
leta screenshot kama ushuhudaPost yangu ilikuwa Loan Officer Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Na placement zimeshatoka.
Niko pale yakitoka mniite .... 😂😂Bado pdf 1 ya usiku wa leo.🤣🤣🤣
Jiandaeni kisaikolojia.
Status ni kitendawili.Mkuu, Mimi saili yangu nilofanya November imebadilika huko kwenye APP Sasa imeandika "SELECTED FOR practical interview Hali ya kuwa Wala sikufanya hyo Practical interview [emoji23][emoji23]
Nawe Kuna yoyote imechange kwako..?Status ni kitendawili.