HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kila la kheri kwa wapambanaji wote, nilipiga written 6 moja nikapita oral na hiyo ndio akinipeleka gavoo japo hadi sasa sijaripoti sijui hawatanipiga ban nina kikazi namalizia hadi January
 
Hujaripoti kwa matakwa yako?
 
Kila la kheri kwa wapambanaji wote, nilipiga written 6 moja nikapita oral na hiyo ndio akinipeleka gavoo japo hadi sasa sijaripoti sijui hawatanipiga ban nina kikazi namalizia hadi January
Nenda karipoti kwanza then ukae kimya usingizie ugonjwa
 
Back
Top Bottom