Sana tuWenye GPA za pass nao wanapata kazi serikalini
Nikajua serikalini hawapati nikawa nikiona post siombi naachaSerikalini ni kuomba bahati tu ndugu yangu
Kama wanachukua mpaka division 4 ya form 4,kwa nini pass degree wasichukue?Nikajua serikalini hawapati nikawa nikiona post siombi naacha
Division 4 ya form four wanachukuliwa kwenye kada zipi mkuuKama wanachukua mpaka division 4 ya form 4,kwa nini pass degree wasichukue?
Zote,imagine mtu kala division 4 form 4 akaunga chuo kuanza certificate,huyo hata akiwa na degree bado haiondoi dhana kuwa cheti chake cha form 4 ni ana division 4Division 4 ya form four wanachukuliwa kwenye kada zipi mkuu
We jamaa bhana 😂Nikajua serikalini hawapati nikawa nikiona post siombi naacha
Acha kujikatisha tamaa mkuu. Kuna ndugu yangu GPA 2.5 yupo Gavoo kitengoni anapiga kazi balaa.Nikajua serikalini hawapati nikawa nikiona post siombi naacha
mpaka mwezi wa 12 mwishoni misiba itakua ni mingiOff target nyingine imebaki miezi miwili kuexpire Data bank ya pili ni huzun
Nihatar ni kifo Cha wengimpaka mwezi wa 12 mwishoni misiba itakua ni mingi
Umenitia nguvu Kwa kweli nilikua nimeshakata tamaaaAcha kujikatisha tamaa mkuu. Kuna ndugu yangu GPA 2.5 yupo Gavoo kitengoni anapiga kazi balaa.
Kama kazi haitaki GPA kama sharti la ajira kaza zile za TA(vyuoni) na BOT una qualifications za kuomba. Usiache kuomba.
KAKA GPA SERIKALINI HATA UWE NA 2.0 CHAMUHIMU UNA CHETIII WATU WANAAAJIRIWAAAAA SEKTA BINAFSI SOMETIMES GPA NDO WAANAAGALIAUmenitia nguvu Kwa kweli nilikua nimeshakata tamaa
Hivi kumbe hilo neno bado linaandikwa?Hapa kinafuata nini?View attachment 3689463View attachment 3689463
Subiri Nafasi ikipatikana kwa ajili yako na ukiwa upo juu Kwenye marks unapangiwa kituoHapa kinafuata nini?View attachment 3689463View attachment 3689463
Hivi kumbe hilo neno bado linaandikwa?
Liliandikwa siku mbili tu likapotea.Ndiyo kwani kwako halijaandikwa??
Oral ulifanya lini?Liliandikwa siku mbili tu likapotea.