Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 250
- 345
Na kuna uzi wa Mshahara 😂😂😂😂Yaani kuna uzi wa wanaotafuta kuingia kwenye mfumo.
Kuna uzi wa walio kwenye mfumo wanapambana kuhama
Na kuna uzi wa Mshahara 😂😂😂😂Yaani kuna uzi wa wanaotafuta kuingia kwenye mfumo.
Kuna uzi wa walio kwenye mfumo wanapambana kuhama
Oya 😅 😅 😅Na kuna uzi wa Mshahara 😂😂😂😂
Oya 😅 😅 😅
HatariOya 😅 😅 😅
Kumbe Tanesco nao ajira zao zinapitia Ajira portalTanescoooo wamemwaga
wamemwaga niniTanescoooo wamemwaga
Wamemwaga Ajirawamemwaga nini
dah nimeziona aisee mwanzoni nilivyoona wamemwaga nikashtuka nikasema vipi tena ukooWamemwaga Ajira
😂😂😂😂😂dah nimeziona aisee mwanzoni nilivyoona wamemwaga nikashtuka nikasema vipi tena ukoo
Mimi mwenyewe nimehisi hivyoTanesco hatimae wametoa nafasi za kazi kule utumishi
Swali Kada ya biashara hamna nafasi je wameshindwa kutoa kwasababu kunawatu wengi wapo kwenye databank?
Bas tuwe wavumilivu pengine kuna mazuri mbelenMimi mwenyewe nimehisi hivyo
Kwamba kada ambazo hawajatoa nafasi huenda wakachukua databaseBas tuwe wavumilivu pengine kuna mazuri mbelen
wamwemwaga lakini post za degree holder naona hazizidi hata 10 katika nafasi 1000 naTanescoooo wamemwaga
kwasasa ukifika degree umetangaza vita na serikaliwamwemwaga lakini post za degree holder naona hazizidi hata 10 katika nafasi 1000 na
Degree ni vita kwakweliwamwemwaga lakini post za degree holder naona hazizidi hata 10 katika nafasi 1000 na
Habari, ndugu mteja.Kumbe Tanesco nao ajira zao zinapitia Ajira portal
haina shida mkuu acha tupambane na hizi zilizotoka tuje tuongeze nguvu ya matusi uko wakati wa kunyanyua nguzo... 🤣 🤣Habari, ndugu wateja na wadau.
Wakati wa kutoa ajira kada za biashara na zingine, ikifika itatangazwa kwa maana ajira hua zinatangazwa kutokana na huitaji.
Asante. ^FL