HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
MIMI SIAMINI KAMA KUNA MTU BADO IPO SELECTED FOR ORAL HAIJABADILIKA LABDA KAMA UKUTE HAKU ATTEND HIYO ORAL WATU TUNAKATISHANA TAMAAA SANA HUMU
Mimi wakati taarifa za status kubadilika sikuwa active nimekuja kuona naangalia nakuta bado ni selected for oral ndio nikauliza watu wakasema ilibadilika kwa siku mbili kwao then ikachange sasa hizo siku mimi sikuwahi India kwa account yangu
 
kuna wanaosema kama ilikua passed and stored then ikachange kua selected for oral ni dalili nzuri sasa wewe kwakua hukuona kabla sijui rafiki
Ndio maana nkawa nauliza je score below average na databank expired status nazo zinasomaje sasa au nazo zimebadilika kua selected for oral pia? I meant sa hivi status zote zinasomeka selected for oral despite the category?
 
Mimi sina status tofauti na stored
 
Back
Top Bottom