Mambo ya nssf,psssf ,nhif mifuko ya hifadhi ya jamiiInahusu nini hii kozi?
Mambo ya nssf,psssf ,nhif mifuko ya hifadhi ya jamiiInahusu nini hii kozi?
Pole, hao wote hawapiti utumishi wanaajiri wenyewe ni mwendo wa vimemo tu huko kazi unayoMambo ya nssf,psssf ,nhif mifuko ya hifadhi ya jamii
Jamani mtoto wa mkulima nitafanya niniPole, hao wote hawapiti utumishi wanaajiri wenyewe ni mwendo wa vimemo tu huko kazi unayo
Hiyo kozi miyeyusho sana,kuna jamaa yangu kaisoma kamaliza tangu 2013,ila hajawahi kupata kazi ya maana mpaka leo,kaajiriwa kwenye kampuni ya wachina kama salesperson.Kwani mnaopata kazi serikalini mmesoma kozi gani mbona Mimi hua Sioni kazi za social protection zikitangazwa jamani msaada jamani
dah ni huzuni kwakweliJamani mtoto wa mkulima nitafanya nini
Kweli ni huzuni sanadah ni huzuni kwakweli
Inabidi kila kazi unayohisi unafit uwe una apply uone kama inakubali hasa kazi zinazohusu kozi za social scienceJamani mtoto wa mkulima nitafanya nini
yani ni kama watu wa banking tu ni kujaribu ikukubali haya ila kizingiti kingine ni ukaguzi siku ya interviewInabidi kila kazi unayohisi unafit uwe una apply uone kama inakubali hasa kazi zinazohusu kozi za social science
Bahati inaweza kuwa upande wake na wengi wamevuka kwa style hiyoyani ni kama watu wa banking tu ni kujaribu ikukubali haya ila kizingiti kingine ni ukaguzi siku ya interview
Never give-up mkuuMimi nishakata tamaa na hayo mapdf yao 😞😞😞😞
Haea jamaa watanipa vidonda vya tumbo ngoja niachane nao tuNever give-up mkuu
Huruma ya kocha???Pdf ya ijumaa iliishia interview za tarehe 18.8 ijayo itaanza kucover interview za kuanzia tarehe 19.8 ambazo ndio watu wengi walifanya na zilikua zinahitaji watu wengi mfano Naot walihitaji watu 121 hapo 21 wanaweza chukua kwenye data base 100 wakachukua kutoka interview wanaobaki na walifaulu wanaendelea kukalia benchi kusubir huruma ya kocha
Mwezi ujao kutakuwa na placement nyingi sana sana kwa interview zilizofanyika mwezi huu.Pdf ya ijumaa iliishia interview za tarehe 18.8 ijayo itaanza kucover interview za kuanzia tarehe 19.8 ambazo ndio watu wengi walifanya na zilikua zinahitaji watu wengi mfano Naot walihitaji watu 121 hapo 21 wanaweza chukua kwenye data base 100 wakachukua kutoka interview wanaobaki na walifaulu wanaendelea kukalia benchi kusubir huruma ya kocha
Ahsante studioPdf ya ijumaa iliishia interview za tarehe 18.8 ijayo itaanza kucover interview za kuanzia tarehe 19.8 ambazo ndio watu wengi walifanya na zilikua zinahitaji watu wengi mfano Naot walihitaji watu 121 hapo 21 wanaweza chukua kwenye data base 100 wakachukua kutoka interview wanaobaki na walifaulu wanaendelea kukalia benchi kusubir huruma ya kocha
Anamanisha watapangiwa kulingana na nafasi zinavyo patikana (uhitaji)Huruma ya kocha???
Aaah ila Psrs hawatabiriki kabisa yaaniAnamanisha watapangiwa kulingana na nafasi zinavyo patikana (uhitaji)