Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,773
- 126,712
Hongera sana, placement imetoka lini? Imetoka baada ya kuitwa Oral?Bro! Nilikuwa napitia comments zako kuhusu usaili wa NAOT ilitakiwa nifanye oral Dodoma J5 bahati nzuri ninekutana na placement letter ya taasisi nyingine.
Sababu siku hizi ukishapata placement unakuwa umeondolewa kwenye wale wanaoweza kupewa nafasi ya kufanya Interview