HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
nimepata zile ajira za ualimu kujitolea za tamisemi kuna mtu anafanya iyo kazi vipi maslahi yake ushauri wenu wadau nisije kujichanganya niliona kuna uzi apa kwamba malipo yake ni madogo na hadi uje kupata pia ni usumbufu
hongera kaka. Mimi nlijaribu kuapply ila nadhani kada yangu ina changamoto kidogo. Sikuweza kufanikisha
 
nimepata zile ajira za ualimu kujitolea za tamisemi kuna mtu anafanya iyo kazi vipi maslahi yake ushauri wenu wadau nisije kujichanganya niliona kuna uzi apa kwamba malipo yake ni madogo na hadi uje kupata pia ni usumbufu
Kuna mate aliajiriwa kwa namna hiyo jaribu huenda ukapata connection ila hakikisha una backup
 
Mwenye uelewa tafadhali,mfano placement halmashauri, vyeti natumia majina mawili mfano( Uncle Mabiki) Nida matatu ( Uncle Godfrey Mabiki) eti nasikia ni tatizo
 
Mambo si mambo
 

Attachments

  • IMG-20260728-WA0000.jpg
    IMG-20260728-WA0000.jpg
    77.8 KB · Views: 11
Toka juzi hawa Utumishi hawatumi emails za activation ya accounts mpya🤔
 
Back
Top Bottom