Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,193
- 5,241
Ndio kaka karibu kulindMlinzi nini mkuu?
Ndio kaka karibu kulindMlinzi nini mkuu?
Usinitaje mm kaka muda wangu mpaka top 10 iishe sasa ndio nafata jemedari
Haupo kaka kunywa maji baridOya,incase nikichelewa kuingia kwenye account yangu ya psrs,kwenye kada ya cooperative officer ii,atakaeona jina la kiume linaanziwa na herufi M anitumie inbox..
Leo naona kimya
Mkuu nimeona maafisa mipango hawajakufikia bado??Kuna pdf huko la kusindikizia sabato vipi hakuna Shuhuda
Bado kaka zamu yangu haijafikaMkuu nimeona maafisa mipango hawajakufikia bado??
Kama washaanz kuita basi soon utafikiwa mkuuBado kaka zamu yangu haijafika
Na ikawe hivyo naisubiri sana hiyo sikuKama washaanz kuita basi soon utafikiwa mkuu
Mkuu kwakweli nimeizoea ....utapata kidogo kitu pia mkuu...kwema mkuu naona asali umeshaizoea sasa
Uwe na amani mkuu jina lako litatoka uvumilivu ni muhimu sana mkuu.Nilifanya Cooperative officer ii ,naona wameita mtu mmoja tu while nafasi zilikua 46.
Tuma salamu kwa watu watatuPoleni sana vijana.