El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,048
- 6,413
waite wazee wa haki na usawa ulewe nao.wakukande hukohuko bar
Ntawawekea ka sumu kidg nione miili yao inavyoliact chemical compound yale maumivu ya NOT SELECTED yalivyomakaliwaite wazee wa haki na usawa ulewe nao.wakukande hukohuko bar
😂😂😂😂Ntawawekea ka sumu kidg nione miili yao inavyoliact chemical compound yale maumivu ya NOT SELECTED yalivyomakali
Kumbe kuna bia?Nyie watu mmetulia tuli kama wote mshapata kazi na leo ni weeekend njoen tulewe huku kigamboni bia zimeshuka bei 1500 kwa 2000 local beer mpoze machungu kidgo
🤣🤣🤣🤣🤣hivi hilo neno haki na usawa huwa wanalifanyia KAZI kweliNtawawekea ka sumu kidg nione miili yao inavyoliact chemical compound yale maumivu ya NOT SELECTED yalivyomakali
Mkoani huko nyie kuleni magimbiKumbe kuna bia?
Wengine tupo mkoani
Tayari yameanza trh 30 mkuu mwezi huu wanaopangiwa hao ndio waliofauluIVI MATOKEO YA ORAL WANAANZA KUTOA LINI
Oya ,ujue hapa kimara local bia ni 2,500/=Nyie watu mmetulia tuli kama wote mshapata kazi na leo ni weeekend njoen tulewe huku kigamboni bia zimeshuka bei 1500 kwa 2000 local beer mpoze machungu kidgo
Gharama sana uko mkuu. Ila siku tukitoka kwenye usaili tuwaalike wale wasimamizi Sekretarieti ya Ajira tupate nao vyombo kidgoOya ,ujue hapa kimara local bia ni 2,500/=
Watoe siri ya kambiGharama sana uko mkuu. Ila siku tukitoka kwenye usaili tuwaalike wale wasimamizi Sekretarieti ya Ajira tupate nao vyombo kidgo
AminaIla week hii haiishi lazima Mungu atuone
SI NASIKIA DODOMA NI KAMA JANGWA MKUUSeran pdf ikitoka number angu ile ile nichek pM ukiona jina limeanzia na F baasi tunahama dar es sAlamu kwenda dodoma
Watu wanakalili sanaSI NASIKIA DODOMA NI KAMA JANGWA MKUU
UNATAKA MUENDE MKAISHI JANGWANI.
wanakariri kivipi mzee ?Watu wanakalili sana