Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Njoo DP WOLRDNgoja niendelee kusubiri meli airport!
Njoo DP WOLRDNgoja niendelee kusubiri meli airport!
Mnipe kitengo!Njoo DP WOLRD
Nako lazima ukaangwe kama psrs tuMnipe kitengo!
Ndio makebo yako mkuuMaskini akipata matako hulia mbwata
Hujaelewa nachomanisha ni kuwa watu waliopata ajira huwasahau joblessNdio makebo yako mkuu
Mimi sitaki kukaangwa bana😫Nako lazima ukaangwe kama psrs tu
Ndio basi tena mchujo lazima upitieMimi sitaki kukaangwa bana😫
Ohooo sasa kaka unamsaidieaje jobless zaid ya kumtia moyo aeneldelee kupambana na akiomba hela nauli unamsaidia zaid ya hapo sijui kingineHujaelewa nachomanisha ni kuwa watu waliopata ajira huwasahau jobless
Ni kumuombea na kumsaidia hata kifedha ikibidiOhooo sasa kaka unamsaidieaje jobless zaid ya kumtia moyo aeneldelee kupambana na akiomba hela nauli unamsaidia zaid ya hapo sijui kingine
Mungu atuongoze kwenye upendo wa namna hiiNi kumuombea na kumsaidia hata kifedha ikibidi
good byeGood morning watu wa Mungu!
Njoo tsap!good bye
Nyie good bye mnatuacha nanani??good bye
Leonce ulipata usingizi kweli leo😁Nyie good bye mnatuacha nanani??
sweetie twende basi😊Leonce ulipata usingizi kweli leo😁
mpambane wenyewe na hali zenu😀Nyie good bye mnatuacha nanani??
We nimekusubiri lisaa hauji sitaki😏sweetie twende basi😊
nilikua namalizia kukamua maziwa jamni 😢We nimekusubiri lisaa hauji sitaki😏